E.l.ve
Senior Member
- Dec 5, 2012
- 136
- 21
Wana jf.
Mwenzenu nina mpenzi wangu 2medumu kwa muda wa 3yrs now.ila kwa mara yakwanza nakutana nae aliniambia anamtoto 1 na hajawai kuoa.baada yakukaa nae kwamuda wa miezi 8 nikagundua anawatoto 2.tena kila mtoto ana mama ake.kwakuwa nilikuwa nampenda na bado nampenda sikuchukua hatua yeyote zaidi yauzidisha upendo wangu kwake.na aliyekuwa aniambia mambo yake yote ni rafiki yake.nikaja nikamuuliza lakini alikataa nikajaribu kumuweka sawa kuwa kuzaa na mwanamke mwingine sio sababu ya mm kumuachag.ila nilitaka kujua why aliwaacha hao wanawake walioamua kumpa zawadi ya watoto.
Akanibalia kuwa nikweli ana watt 3 na kila mtt anamama ake.ilo kwangu halikuwa tatizo.ila ss mm na huyu mwanaume 2lipanga 2jekuishi wote mara baada ya mm kuwa na kazi kwani niliamua couz nilimuona nim2 ambae anamanyanyaso sana,hapendi ushauri wala hapendi kuambiwa kosa alilofanya,wala hapendi kukiri kosa.anapenda kuyapeleka mapenzi kibabe kwakuwa nilimsoma nini anapenda nini hapendi basi nikajifunza kujishusha kwake mara anapokuwa mkali.ila nahisi nakuwa mtumwa wa mapenzi kwani kila nikitaka kumuacha nashindwa nabaki kulia 2.
Kibaya sipendi kubadilisha wanaume kwani kila mwanaume anamapungufu yake.anaweza siku akaamka akani2mia sms zamatusi mpaka nashindwa kula.nakonda kwasababu yake kama kumpenda nampenda sana.akishani2kana nampigia kumuuliza why tatizo dogo una2kana ivyo.anadai wivu.yani hapa sielewi wivu au anamdomo mchafu 2.kwani amekuwa akimtukana hata mwanamke aliezaa nae.tatizo huyu mwanaume nimkorofi sana hata kazini.nimekuwa nikimsema abadilike lakini nahisi kushindwa kwani anapenda kushindana hata na boss wake.inafika hatua anataka kupigana na boss.
Hajawai kuniambia kama anaugomvi na boss.ila marafiki zake anaofanya nao kazi wananifata nakuniambia nimseme jamaa kwani atakuja kufukuzwa kazi.ila jamaa anakuwa mkorofi sababu anakunywa pombe na makundi mabaya.nishaurini nifanyaje kumnusuru huyu.kwani ninaowaonea huruma ni watoto wake.japokuwa sijazaa nae wala siishi nae.yy anakaa kwake namimi naishi kwa wazazi wangu