Umekosa ushauri wa maana hadi unamwambia alete ubabe kwenye nyumba ya watu? Kwani kusubiria boom ndo kuhalalisha kukaa kwenye nyumba ya watu huku unadaiwa kodi?
Ushauri mzuri ni kujishusha na kujaribu kuomba ukijifanya mbabe kwenye nyumba ya watu utaondolewa tu, na kisheria ana haki ya kuzuia vitu vya ndani vya jamaa ikiwa vitu hivyo vinalingana thamani na pesa anayomdai.
Kwahiyo usimshauri kumwaga petrol juu ya moto.