Una IQ kubwa sana 🤣🤣 umezaliwa bongo kimakosa mkuuKuna ME huwa 'akilazimishwa' anachukia?
Madonati ya njano?Mtoa mada anaonekana ana kimdomo
Mimi sina ushauri
Labda alete kwanza madonati tule
🤣🤣🤣kawaza kwa sautiHivi,kwa nini vijana wengi hamjui kujieleza?Sasa,hapo umeuliza,umeomba ushauri au umeongea peke yako?
🤣🤣🤣Mtoa mada anaonekana ana kimdomo
Mimi sina ushauri
Labda alete kwanza madonati tule
Aiyee [emoji2][emoji2][emoji2]Donati la njano ina maana halijaiva hilo.Likiiva lazima liwe la "uzurungi"! Brownies!
Hack ya kupata usingizi chap kwa haraka?i know a hack
Mi mwanamke nafanyaje nyeto?ndio,
nyeto.
Ameongea peke yake mkuu[emoji28][emoji28]Hivi,kwa nini vijana wengi hamjui kujieleza?Sasa,hapo umeuliza,umeomba ushauri au umeongea peke yako?