mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,351
- 75,617
i know a hackNautafuta usingizi hapa
Shida zako ndizo zimekufikisha hapaš š kwakuwa una changamoto ya afya ya akili nakupa pole tafuta suluhisho.
ni litamu au ndio kama maji?Najitolea kukupigia donati la njano[emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha wee!Una umbea mwingi sana
ni litamu au ndio kama maji?
shida zangu tena? upost wewe unahitaji ushauri una shida alafu unasema shida zangu, upo sawa mkuu?Shida zako ndizo zimekufikisha hapa
ngoja utukanwe shauri yako š š[emoji23][emoji23][emoji23]halijaiva bado lakini
ngoja utukanwe shauri yako [emoji23] [emoji23]
š š watu wachokozi nyieAende huko[emoji23][emoji23]
Ntamkunywa na chai
Hapana naomba unieleweshešššš š watu wachokozi nyie
mpe ushauri si umeelewa mada.
ili nije nitukanwe tena ngoja Depal aje atakueleweshaHapana naomba unielewesheššš
Acha mambo Yakoš¤£donati la njanoš
lina tobo katikatišAcha mambo Yakoš¤£
Mkuu kama unazijua donati, zina 'tobo'.... hili sasa ni la njano bado halijaiva.usemi jinsia yako why? hakuna anaekujua humu be free ili usaidike mkuu
fanya hivii,Ipo hivi nikiwa nataka kushiriki mapenzi maswali huwa yanakuwa mengi mpaka hamu inapotea kabisa
Lakini kabla sija shiriki uku kwenye simu au nikiwa nae karibu na kuwa na feeling nyingi sana mbaya mpaka naona siku inachelewa kufika
Ila siku ikifika hisia sina tena na huyo mtu zaidi naishia kukataa akinilazimisha nikisha fanya nae na mchukia nifanye nini?
Na mimi napenda mapenzi