Habari wakuu,mimi ninachangamoto moja,hapa majuzi niliumwa nikaenda hospital nikakutwa nina UTI kali na maralia nikachoma powersafe na pia nikanywa mseto
Baada ya muda nikaanza kusikia tena hali ya kuumwa nikapima nikaambiwa UTI haijaisha nikanywa azuma kwa siku 6 nimemaliza siku moja imepita sasa still kichwa hasa hapa kwenye kipandauso na pia fizi kama zinauma.. itakuwa nn