National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,202
π π π mtu kutwa thread yupo heat huyu .. akigongwaa huwezi ona tena hizi heka heka humu.Acha Uongo!!! mbona unadaganya kama kidenti cha shule ya msingi..
Hapana, huo msemo unawahusu watu..!! Ni msemo ndoige mkuu..!! Ukizini umezini na ukitamani umeziniMkuu huo msemo unawahusu wanaume tu na sio mademu
Toa sana macho, ukiingia kwenye 18.. nakugonga hadi unyee π€£π€£π€£.. unatulia tuliii kama maji mtunginiπ³π³
"Kila amtazamaye mwanamke...."Hapana, huo msemo unawahusu watu..!! Ni msemo ndoige mkuu..!! Ukizini umezini na ukitamani umezini
Unashangaaa tuuu... njoo pm nikuelekeze uje mahala nikuwashe nyege zikuishe π π ππ³π³π³
Kuwa pastor kwenye Kizazi tabu sana. Yani waumini wanakusomea ramani mchana kweupe.Nawaza nifanyeje ili nisiingie katika dhambi ya kuzini na huyu pastor maana amenishika pabaya.
Wanawake wenyewe hawa..!? Ametajwa anayetazamwa, anayetazama ni namna tu uliyowaza wewe au mimi."Kila amtazamaye mwanamke...."
Hapo sio kila amtazamaye mwanaume, so Yesu aliwalenga wanaume pekee
Ilete kwanza sio unaishi kupiga saluteπ«‘
Halafu Yesu huyo huyo aliwaonya wanaume waache kukodolea macho wadada, yaani aliua kabisa kwa kusema jicho likizingua litoboe liache kuona πWanawake wenyewe hawa..!? Ametajwa anayetazamwa, anayetazama ni namna tu uliyowaza wewe au mimi.
Husomeki sasa unataka niniπ³π³
Haya bwaasheeHalafu Yesu huyo huyo aliwaonya wanaume waache kukodolea macho wadada, yaani aliua kabisa kwa kusema jicho likizingua litoboe liache kuona π
Hapo walengwa ni wanaume, acha ubishi bwashee
Trust me huyo ni Mpwayungu...Huyu hawezi kuwa binti.
Usifiche fiche hisia π π π fungukaaa nipo kwa ajiri yako mtoto mzuriNothing thanks
Sasa apo unataka tukushauri vipi?