Ennie JF-Expert Member Jan 15, 2011 7,137 4,122 Jul 27, 2011 #41 Kbd said: Nakushukuru sana kwa ushauri.Ila huoni haja ya kumsaidia chochote huyu mdada? Click to expand... Ongea nae kwanza huyo mdada ili ujue kama yuko tayari kupokea msaada vinginevyo ukienda front atakukana utashangaa.
Kbd said: Nakushukuru sana kwa ushauri.Ila huoni haja ya kumsaidia chochote huyu mdada? Click to expand... Ongea nae kwanza huyo mdada ili ujue kama yuko tayari kupokea msaada vinginevyo ukienda front atakukana utashangaa.
G_crisis JF-Expert Member Jun 19, 2011 723 244 Jul 27, 2011 #42 Hao watu ni kabila gani? usikute ni Wakurya wenyewe wanashow love kwa mtindo huo!!