Naomba Ushauri!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Ushauri!!!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mvaa Tai, Jul 22, 2011.

 1. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Niliagiza samaki sato ndoo mbili siku nne zilizopita kutoka mwanza, maeneo yetu ninayoishi tulikatiwa umeme mfululizo siku mbili. Pamoja na kujitahidi kuwakaanga wameoza, je kuna matumizi mbadala ya samaki walio oza?
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  wale na familia yako,..........au unasemaje?
   
 3. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kama bado haujawakaanga unaweza kuwatia chumvi nyingi ili wawe N'gonda na kama umesha wakaanga wapatie paka au mbwa wanaweza kula.
   
 4. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Wapake chumvi nyingi kisha uwaanike juani, wakikauka uwasage kisha wafanye chakula cha kuku...
   
Loading...