Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Unampenda kakuzalia mama yako?
thats trueChukua time kama ulivyoambiwa. Jifunze kutolazimisha usipopendwa.
Roho ikikuuma wewe kunywa Gongo itaponaaMm ni kijana nimetokea kumpenda binti nikamweleza haja yangu akanieea tukawa wachumba, baada ya mwezi 1 akanitumia sms anadai ameshindwa kuwa na mm hivyo nichukue time, ila mm nampenda sana na roho inaniuma sana nifanyeje wapendwa
Ndo chukua sasa unasubiri niniMm ni kijana nimetokea kumpenda binti nikamweleza haja yangu akanieea tukawa wachumba, baada ya mwezi 1 akanitumia sms anadai ameshindwa kuwa na mm hivyo nichukue time, ila mm nampenda sana na roho inaniuma sana nifanyeje wapendwa