misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 13,918
- 9,730
Wanabodi mimi ni mfanyabiashara nina biashara nyingine tofauti ila napendelea kufungua biashara moja mpya kati ya maize flour processing na water processing na nilishafanya mawasaliano watengenezaji wa izo machine na wamenitumia quotations zao ila sasa naomba ushauri na biashara,ipi biashara ambayo urudishaji wa mtaji na kupata faida kwa muda mfupi kati ya nilizotaja hapo juu? Changamoto na biashara kuwa na faida kwa muda gani? tafadhari nahitaji ushauri