Naomba ushauri wenu

Naomba ushauri wenu

Ilambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
475
Reaction score
90
Kuna dada ananipenda sana,lakn mim namuona wa kawaida sana.cjskii kvle kuwa nae.nifanyaje ili nimpende? Kingne umri namzd mwaka 1 je ni sawa kumuoa? Naomba ushauri kwnu
 
Kuoa ni safari ndefu bro . Ndoa si kitu cha mchezo kumbuka unaongelea ndoano au mji wenye maraha so be carefull. Kama unaona unahisia za kumpenda basi love can grow kidogo kidogo finally waweza oa kumbuka age is just a number.
 
Kuna dada ananipenda sana,lakn mim namuona wa kawaida sana.cjskii kvle kuwa nae.nifanyaje ili nimpende? Kingne umri namzd mwaka 1 je ni sawa kumuoa? Naomba ushauri kwnu

kumpenda ni jukumu lako lakini mimi nitajikita katika ndoa hili si swala la mchezo inakupasa utulize akili ili kujipanga kimtazamo maana baada ya ndoa huyu atakuwa wako wa milele mpaka kifo hivyo busara inahitajika kwa hili.
 
kuna dada ananipenda sana,lakn mim namuona wa kawaida sana.cjskii kvle kuwa nae.nifanyaje ili nimpende? Kingne umri namzd mwaka 1 je ni sawa kumuoa? Naomba ushauri kwnu

ahaa! Kumbe hunipendi ee!
 
Kuna dada ananipenda sana,lakn mim namuona wa kawaida sana.cjskii kvle kuwa nae.nifanyaje ili nimpende? Kingne umri namzd mwaka 1 je ni sawa kumuoa? Naomba ushauri kwnu

kumpenda ni jukumu lako lakini mimi nitajikita katika ndoa hili si swala la mchezo inakupasa utulize akili ili kujipanga kimtazamo maana baada ya ndoa huyu atakuwa wako wa milele mpaka kifo hivyo busara inahitajika kwa hili.
 
Heeeee......umeanzaje kufikiria ndoa wakat huelew hata km huyo mtu unampenda?
Au ndo mambo ya liwalo na liwe.
 
Usiyempenda chana naye kimya kimya wala hamna haja ya kuomba ushauri.
 
"when you look at her, do you hear the wind whisper a melody?". usiingie kwa mahusiano kwa kumuonea mtu huruma.kama haumpend/feel mwonyeshe mapema asipoteze muda wake. when a man loves the woman........
 
Anaweza kuimitate, mtie moyo

hahahaa! Nimtie moyo sasa hivi then aende akavunjike moyo ndoani? Sindio yatakuwa ''majangless'', i mean majanga zaidi... Tuanze tena kutoa ushauri kwa mtu mwenye majeraha moyoni? Ablessed tuungane kwa pamoja kupinga ndoa zisizokuwa na upendo ili tupunguze idadi ya ndoa zinazovunjika ovyo... Sawa!!??
 
Nakuelewa mkuu unajua najibu kutokana na mtoa mada alivyoainisha mada yake. Kiukweli ni vema watu waliopendana kwa dhati ndio wakaingia kwenye ndoa . Lkn ni ngumu kupata 100% of love from each side unajua love inaviwango tofauti
 
humpendi umuoe wa nini mtt wa watu?!!
ndoa ni upendo bana,mweleze ukweli
atapata anaempenda acheni kupotezeana muda!!
 
Umri si tatizo kama unataka kuoa mkuu,kikubwa tazama upendo wako kwake kama si thabiti,ni vyema kukaa pembeni.

NB.mapenzi hukua hvo usishangae siku moja nawe umemdondokea ingawa awali hukuwa na hisia nae
 
Hasanten wakubwa,mi nampenda kdgo coz kitandan yupo fit.
 
Back
Top Bottom