makosahittu
Member
- Aug 31, 2016
- 17
- 14
Hi! Mimi ni miongoni mwa wanaosubiria ajira ya ualimu mwaka huu. Lakini nilifanya application ya kufundisha MIEZI 3 nyuma katika shule ya private.
Juzi tu nimeitwa nimeambiwa napewa mkataba kuanzia miaka miwili. Lakini niliulizwa Swali ambalo nimeshindwa kujibu na nimepewa muda nijibu , wameniuliza ikitokea Serikali ikatoa ajira ya ualimu mwezi huu au ujao. nitabaki au nitaenda serikalini? wameniahidi mshara unaozidi kiasi kidogo na ule wa serikalini, nitapewa nyumba ya kuishi .
NAOMBA USHAURI MANA KUNA WATU WAMENITISHA KWAMBA PRIVATE HAKUNAGA JOB SECURITY na ikitokea umepishana kauli na mkuu wa shule basi nitapoteza ajira yangu. NAOGOPA KUFANYA MAAMUZI YA KUKURUPUKA!!!
Nahitaji mchango wenu wa mawazo.