Catherine
-Mawazo mengi,
-Ubongo kuuma sana,
-Kukosa hamu ya chakula,
-Ndoto nyingi sana, zote za anayeutesa moyo wako.
-Kuona kizunguzungu sana na kupata kifafa cha mda, kitaalamu tunaita 'Hysteria'
-Usipotibiwa haraka hali huwa mbaya, na bila kuwa makini watu wanaweza kuimba "
Si mbaliiii, Karibu...Tutaimba na sisi hukooo" (Ijulikane kuwa ugonjwa wa mapenzi hutibika kwa mapenzi)