nnunu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2011
- 654
- 230
my dear naongea kwa uzoefu wa kufanya kazi na hao watu na kuishi nao ni ngumu kukubali kirahisi hivyo wapo sikatai lakini he he he unapima unakimbia majibu usifanye mchezo dada hii kitu isikie tu kwenye tv na radio inatisha na kuogopesha sana.
Any way sibishi wala sikatai wapo hao wanaoishi positive na negative tena wengi tu lakini fatilia wengi walivyo si rahisi hivyo ma dear.................
upo sahihi kabisa dena 100%,
siyo rahisi kabisa kukubali kirahisi hivyo,wengi wanakubali baada ya kushauriwa na sana na washauri nasaha hosp,wanasaikolojia tena kwa muda wa kutosha na maelezo ya kutosha.
Lakin labda ni mwanaume mwelewa na anampenda sana mkewe,
ila ni vizuri sana wakienda bega kwa bega hosp,wakapima na kupata majibu kwa pamoja ili hata mwanamke ajihakikishie kwa macho yake kuwa kweli mumewe hajaathirika,na ni kweli anampenda anasimama na kuwa naye pamoja hata kwenye hiki cha changamoto kwake kiafya.