Dogo1
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 1,357
- 577
Nawasalimia wana JF wote. Naomba ushauri wa kitaalamu kuhusiana na CCTV Camera kwa ajili ulinzi wa nyumbani kwangu. Natambua zipo 'Analog' na 'Digital', kwa wenye uelewa mpana naomba kujuzwa aina ipi ni bora na ili niweze kutimiza malengo kusudiwa ni vitu gani natakiwa kuangalia kuhusu camera hizo ili ninunue kilicho bora zaidi. Aidha, naomba contact za fundi ambaye nitawasiliana nae kwa ajili ya installation. Nawasilisha.