Naomba ushauri wenu katika hili

Naomba ushauri wenu katika hili

only 2 months!!!!!..... ulimkuta used au brand new.....???...........ukitaka kuwa huru...tumia PUNYETO.....free love forever...
 
Habali zenu

Naomben ushauri jamani niko njia panda. Nifanye nini katika hili. Nipo katika mahusiano ni Taktiban miez 2 ila shida iko sehemu moja huyu bidada nilienaye ana wivu yes wivu haswaa uliopitiliza asione sim imepigwa atataka ajue, asione naongea na jinsia tofauti ndo kabisa ni mwendo wa kununa ka paka aliyekosa maziwa kwakwel hii kitu mimi siwezi vumilia napenda uhuru katka ishu nzima ya mahusiano sasa nawaza nifanye kipi kutatua hii disaster.

Nimejaribu kuandika kwa ufupi ila yapo mengi tu. Naombeni ushauri wenu jamani ni nifanye nini
bila kapicha haisaidii kitu mkuu
 
Ulivyoanza na neno "Habali" badala ya "habari" nikajua tatizo linaanza hapo.
 
Back
Top Bottom