Kuhusu kuijua fani yako ni muhimu, pia swala pesa ya kujikimu ni swala la kumuuliza huyo anayetaka kukufundisha kazi je atatoa?, na pia swala la kiwango cha mshahara serikalini lisiwe kipaumbele wakati bado unajifunza kazi, pia kama kukufundisha kazi unaweza ongea na shule ukapanga vipindi muda ambao utakuwa na nafasi kama mchana baada ya kutoka huko kazini hasa zaidi kama ofisi zipo karibu....