Naomba ushauri wako!

Dijovisonjn

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
466
125
Nina mpenzi ambaye nimekuwa naye kwa miezi saba (7) sasa.
Ila kitu cha ajabu kinachonisumbua hadi nimefikia hatua ya kuomba ushauri ni kwamba kila ninapokuwa mbali na mpenzi wangu huwa simmiss wala kuwa na hisia zozote za kimapenzi juu yake na naweza hata kukaa mwezi mzima bila kumtafuta na wakati mwingine huwa nahisi she is not my type, lakin ninapokuwa naye karibu huwa nahisi kumpenda sana, namuona mrembo sana na huwa najihisi mwenye bahati sana kuwa naye.
Je ni nini kinasababisha nakuwa kwenye hali hii? Na nifanyeje ili niondokane na hii hali?
(kumbuka hakuna msichana yeyote ninayempenda au kuwa na hisia kwake zaidi ya huyu mpenzi wangu)
 
Mawasiliano hurudisha hisia za mapenzi jitahidi kuwa unamtumia sms na kumpigia mara kwa mara
 
full time fikilia mazuri yale alowahi kukufanyia hapo nyuma, anza kufikilia frm the first day ulipoanza kumuaproach n.k utashangaa unakata ticket kumfuata
 
hujampenda huyo......ulimtamani na unapomuona unamtamani tu....................

Ila wanasema 'you don't know what u've got untill its gone'........wakikuzidi kete ndo utajua kama ulimpenda au la.....
 
hujampenda huyo......ulimtamani na unapomuona unamtamani tu....................

Ila wanasema 'you don't know what u've got untill its gone'........wakikuzidi kete ndo utajua kama ulimpenda au la.....
we ndio umempa ukweli mwache achezee shilling ktk tundu la choo
 
:spy::spy:nitumie no zake za simu,,,,mimi nitamsaidia dada wa watu kumpenda kwa dhati na nakuhakikishia baada ya miezi mitatu atakupa kadi uhudhurie kwenye harusi yetu,,,,,tutakualika pia kwenye birth day zetu na ya mwenetu mtarajiwa tutakaye muita jamii,:hat:
 
ongeza mawasiliano bro,mimi mwenyewe situation km iyo ishanikuta mpaka nikaamua kuachana na mpenz wng niliekua nae ktk relation for 5 yrs ila baada ya kama miez 8 ivi kupita mwenyewe nikapiga goti,saivi niko kwenye process za kumweka ndani kabisa,so iyo situation ni normal na inaweza mkumba mtu yeyote.
 
nashukuru, nitajitahidi kufanya hvyo.
 
Kuzini uzini wewe ushauri wa uzinifu wako uje kwa jamii? Si kitu, ntakupa ushauri;

Naomba nipatie contacts za huyo demu wako na unapokuwa haupo unijulishe ili niwasiliane nae, nikimpata ntakuja kukupa ushauri wa nini kinakusibu.
 
Back
Top Bottom