Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,614
- Thread starter
- #61
Fuatilia ndugu usione shida . Hii itakusaidia kuujua ukweli na pia utajua kwanini yote hayo yanafanyika then utawasaidia wengine watakaopatwa na mkasa kama wako. Usiogope , ukiujua ukweli utakuweka huru even in future hautatumia hili tukio kama reference endapo utamkuta mkeo na kosa la jinsi hii otherwise utageneralize tu na kusema ndio maana kipindi fulani ulisemwa hivi , wakati huenda tukio unalo refer halikua la kweli.
Nashukuru; nitaendelea kufuatilia ili niujue ukweli wa mambo.