Naamini umenipata vyema!Ngoja kwanza...yaani mkeo anamegwa na mume wa huyo binti? Kwa maneno mengine mkeo anachiti na mume wa huyo dada?
If that's the case I'd have puckered for a smooch.....
Naamini umenipata vyema!
Maswali mengi yaligonga kichwani mwangu na sijapata majibu!
Je huyo binti alitaka na mimi nilianzishe kwake?
Je! kuna mtu anataka kuharibu ndoa yangu kwa uzushi huo?
Je! ni kweli mke wangu anatembea na huyo bwana?
Usiwe na papara, usimchukie Mkeo, na wala usivuruge amani ya nyumba yako. Mwanaume ameumbwa akawekewa koromeo, Mungu alikuwa na maksudi yake kwamba hicho ni kizibo yaingiayo ndani yasitoke, so weka moyoni na anza uchunguzi wa kina kuhusu nyendo za mkeo. kama ni kweli utabaini na kama si kweli pia utabaini ukishapata majibu yaliyo sahihi halafu Tafakari chukua hatua.
N;B ANGALIA HATUA UTAKAYOCHUKUA HAITAHATHIRI FAMILIA NA WEWE MWENYEWE KWA UJUMLA.
"Nikiona mwenzangu anaibiwa nahisi kama naibiwa mimi, so miaka kadhaa ijayo ndo mniulize ntaoa lini..."
Hata ukitaka kuoa jiulize utamuoa nani, ukiambiwa we ni boyfrend haimaanishi upo peke yako,hahahahaha