Naomba ushauri wako kwa hili

Naomba ushauri wako kwa hili

Edmund N Abel

Member
Joined
Dec 14, 2012
Posts
20
Reaction score
2
Nilikuwa na mchumba ambae tulipendana.pindi nimechaguliwa chuoni 2012 akadai kuwa ange nisubiria lakini nilipo rudi rikizo nilikuta wametoa mahari sabab et kashawishiwa na dada ake ,na hivi sasa ashaolewa. Anadai tuendeleze mapenzi ya kisiri et bado ananipenda je nile mzigo.
 
::
Kila mmoja ana dhamira ambayo humhukumu au kumpongeza kwa atendalo.
Fanya kadri ya hasara au faida ya mwili wako
=
 
Tumia akili,je angekuwa mkeo analiwa na mtu kwa siri ungemuelewa?
 
Hakuna jipya tena hapo,Biblia inasema ikimbie zinaa.Hiyo ni zinaa maana utakuwa unazini na mke wa mtu
 
am too young to comment this..wakubwaa endeleeni...
 
Achana naye tafuta mwanamke mwingine utaingizwa kwenye mtego na itakuhalibia maisha yako yote ya baadaye.
Kwani yeye ananini hasa si ile ile tu hata mbuzi anayo.
Usi hatarishe maisha yako na kumbuka huyo sasa ni mke wa mtu. Na mtakapo takakufanya mambo yenu mtaonwa na watu.

Kwa nini ufe kabla ya wakati?
Tafakari chukua hatua.
 
Nilikuwa na mchumba ambae tulipendana.pindi nimechaguliwa chuoni 2012 akadai kuwa ange nisubiria lakini nilipo rudi rikizo nilikuta wametoa mahari sabab et kashawishiwa na dada ake ,na hivi sasa ashaolewa. Anadai tuendeleze mapenzi ya kisiri et bado ananipenda je nile mzigo.

hivi unajua kusoma na kuandika kweli?
nyie mitoto ya siku hizi mwawaza mbunye tu
 
Ameshakuwamke wa mtu, jipange upya utafute wakwako umgegede kwa raha zako bt usijaribu kurudi tena kwa huyo x wako heshimu ndoa yake.
 
Nilikuwa na mchumba ambae tulipendana.pindi nimechaguliwa chuoni 2012 akadai kuwa ange nisubiria lakini nilipo rudi rikizo nilikuta wametoa mahari sabab et kashawishiwa na dada ake ,na hivi sasa ashaolewa. Anadai tuendeleze mapenzi ya kisiri et bado ananipenda je nile mzigo.
andika vizuri kisha uje tutakusaidia mi nachukia kusoma maandishi na uandishi mbaya kama wako:angry::angry::confused3::confused3::redfaces::redfaces::A S 20::A S 20::A S 20::A S-frusty::A S-frusty::A S-frusty::A S-frusty::A S angry::A S angry:
 
Likuepukalo lina heri mshukuru mungu kwa kila jambo ,kata mbuga.
 
Nilikuwa na mchumba ambae tulipendana.pindi nimechaguliwa chuoni 2012 akadai kuwa ange nisubiria lakini nilipo rudi rikizo nilikuta wametoa mahari sabab et kashawishiwa na dada ake ,na hivi sasa ashaolewa. Anadai tuendeleze mapenzi ya kisiri et bado ananipenda je nile mzigo.
Hiko Chuo ulichoenda kilikuwa ni Chuo cha Kukata tiketi kwenye mabasi (Kondakta - 1st Diploma) !!???? Muandiko wako ndio unasibitisha Hilo mkuu Edmund.
 
Kwani ww domozege ama ulimbahatisha huyo..?achana nae tafuta mwingine

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForu
 
mke wa mtu sumaku
ukinasana huko usije ukatulilia!!
tafuta wa kwako huyo c wako tena!!!
 
::
Kila mmoja ana dhamira ambayo humhukumu au kumpongeza kwa atendalo.
Fanya kadri ya hasara au faida ya mwili wako
=

Na ushauri wetu hauto badili chochote kwenye hisia na dhamiri zako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom