Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,652
- 5,133
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo fulani nchini tanzania(government institution).
Nimebahatika kupata fedha kutoka serikali za kunisaidia katika maswal yangu ya kielimu kwa hilo nashukuru ila kichwani nna mipango mingi ambayo nahitaji niifanye siku za usoni lakin nahisi muda unanipa shida.
Nataka kujihisha kufanya biashara tofauti mfano kufungua duka la uwakal wa mitandao ya simu, duka la vyakula lakin tatizo ni muda na jinsi gani naweza kuliendesha hili suala bila ya kupata hasara mfano ukimuachia mtu anaweza akawa ananiongopea juu ya mapato au kuniibia kiujumla na hili jambo nataka nilitaka niliendeshe kisiri i mean home wasijue mpaka miaka 2 mbele kwa sababu zangu maalumu.
Kutokana na hali hii naomba munipe msaada wa kimawazo ili kuweza kutimiza matarajio yangu.