Naomba ushauri wadau :

Naomba ushauri wadau :

Karl Max

Member
Joined
Sep 10, 2017
Posts
6
Reaction score
4
Nilimaliza form 4 mwaka 2012 ,kutokana na matokeo yale nilipata div4 ya 28 .Matokeo hayo yalinikatisha tamaa kiukweli sio siri.2014 nkaenda soma special course ya ualimu wa private na kumaliza mwaka jana. Sasa nataka nijiendeleze naambiwa hyo course uliosoma haijasajiliwa! Sasa msaada ninaouomba ni je naweza pata college yoyote hata kwa kuanza certificate ila nje ya mfumo..? Maana ada natafta mwenyewe ..NAOMBA MSAADA WADAU
 
Pole sana ndugu ,cha msingi usikate tamaa kuna kozi nyingi za kusoma kwa matokeo hayo jambo la msingi fuatilia vyuo vingi vya private ili ukasome hata odiary diploma ya community development itakusaidia
 
Brother: SOMA KWA MAKINI HAPA:
unadanganywa unapoambiwa " elimu ni ufunguo wa maisha" kuna mambo mengi ya kufanya. binafi nimemaliza form six mwaka huu na nilisoma HGL nikatoka na division 2. Ila nkaangalia mbele zaidi nkaona nikienda university nitajipotezea mda. Nimeamua kuwa mkulima. mwezi uliopita nimeanza kufuga kuku na nlianza na kuku 52 na wengi wao wameanza kutaga sasa na nnatarajia kulima mahindi heka 5 kwa kuanza but miaka ijayo natarajia kulima hadi heka 100 na kufuga kuku 1000 n.k. ofoz huwa najutia mda nlioutumia shuleni for no any valid bnft... Nakushangaa unapotaka kurudi huko. sijui lakini wewe unawaza nini.KAMA MNATAKA MALI MTAIPATA SHAMBANI
 
Wazo Zuri lkn yeye anapenda kuendelea na Elimu na njia zenu za kufikia mafanikio zinatofautiana
 
Back
Top Bottom