Habari wakuu,
Ninataka kununua simu yenye perfomance nzuri, camera nzuri kwa badget ya 350,000 tu.
Brand nataka iwe samsung au iphone.
CHIEF MKWAWA
Vp kuhusu m seriesKwa samsung A series hapana network yaraka uwe karibu na mnara yaani mjini tu lkn ukienda mbali aisee kobe akasome
Mzee baba unatumia line gani kwanza!!!!Kwa samsung A series hapana network yaraka uwe karibu na mnara yaani mjini tu lkn ukienda mbali aisee kobe akasome
Hapo kwenye brand umeyumba.Habari wakuu,
Ninataka kununua simu yenye perfomance nzuri, camera nzuri kwa badget ya 350,000 tu.
Brand nataka iwe samsung au iphone.
CHIEF MKWAWA
Sawa mkuu.Hizo brand naona ni nzuri kwangu,nimetumia brand nyingi lkn sikuzifurahia sana, hizo ndio nimeona bora kwangu.
270 mpaka 290Oky kwasasa inauzwaje hii simu
Nimeenda mlimani city duka la samsung wanauza 540270 mpaka 290
A10s? Nenda kariakoo. Huko nasikia wako na bei ghali.Nimeenda mlimani city duka la samsung wanauza 540
Unashangaa nn! Si unataka vitu vizuri vigaramieDuuh 540?mbona hela nyingi sana