Pole mkuu umeshaenda ofisi ya ardhi kuwapa issue hii???Habari zenu wakuu.
Miaka kadhaa nilinunua kiwanja kikiwa kina njia 2 za kupita gari.Baada ya muda akauziwa mtu na kujenga uzio njia moja ikafa ilabaki moja.
Njia iliyobaki nasikia napo panataka kuuzwa na madai ni kuwa hiyo sio njia eti ni kiwanja cha mtu.
Wakati nduziwa nilioneshwa kuwa hizo ni njia na ktk hati yangu ya serikali za mzaa inaonesha kiwanja kina njia 2.
Nafsi yangu inahuzunika sana nikifikoria jinsi ambavyo mchakato wa kudai haki yangu unayoenda kuniingiza kwenye uadui.So far sina adui wala sijawahi kugombana na mtu na ninatamani iendelee hivi ila nimejenga nyumba nzuri kubwa ya kisasa hapo lakini bila njia hiyo nyumba itashuka sana thamsni.
Wakuu nawaomba mnishauri njia nzuri ya hekima ya kukabiliana na changamozo hii.
Natanguliza shukrani🙏
Squarter za uswazi humalizwa ngazi ya kata,aonanena balozi wa nyumba kumiPole sana, onana surveyors na wanasheria kwenye maswali ya Ardhi na viwanja
Ambae utakuta amepewa pesa ili atulieSquarter za uswazi humalizwa ngazi ya kata,aonanena balozi wa nyumba kumi
Ndio nadhara ya kununua squarterAmbae utakuta amepewa pesa ili atulie
Yani mimi ndio maana huwa nachukua kiwanja kilichopo mbele ya bala bala ambayo imeshatengenezwa.Ndio nadhara ya kununua squarter
Muhimu sana hiyo,inaepusha migogoroYani mimi ndio maana huwa nachukua kiwanja kilichopo mbele ya bala bala ambayo imeshatengenezwa.
SawaPole sana, onana surveyors na wanasheria kwenye maswali ya Ardhi na viwanja
Asante.Pole mkuu umeshaenda ofisi ya ardhi kuwapa issue hii???
Fanya hivyo, kama unapesa tafuta kabisa lawyerAsante.
Bado sijachukua hatua yeyote mkuu
Itabidi tu nifanye hivyo mkuu.Dai haki yako hata kama unaona utaumiza watu , kama unaona haupendi kuumiza watu , jiandae kuumia wewe.
Note. Ila busara ya kwanza inaanza kwa kujijali wewe kwanza na wengine ndio wanafuata.
Cha kuchekesha sijui kuhuznisha mzee aliyeniuzia ndo balozi sasa.🤔Squarter za uswazi humalizwa ngazi ya kata,aonanena balozi wa nyumba kumi
Hela ngumu mkuu.Kama una hela, nunua iko kiwanja.
Ndo aliyeniuzia☹️Ambae utakuta amepewa pesa ili atulie
Pole, uza hio nyumba mkuu maana utagharamika sana katika hio kesi vibaya mnoooooooo na uhasam juuuNdo aliyeniuzia☹️
Muite surveyor apime kwa kutumia handheld receiver.Habari zenu wakuu.