Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,587
- 17,534
Asante sana mkuuuuIli upate ushauri mzuri inabidi useme matumizi yako muhimu ya hiyo projector, maana kuna projector zenye matumizi tofauti, tofauti. Kwa mfano:-
Multimedia projector:
Hizi ni nzuri kwaajili ya kuangalia movie, kucheza game na huenda zisifae kwaajili ya presentation. Bei yake ni kuanzia laki 4 (ebay price), mwanga wake mara nyingi huwa haufiki lumen 2500, na zinazo fika, bei hua juu kidogo.
Mobile projector:
Hizi huwa na bei nafuu sana kama elfu 60,000 (ukiagizia toka ebay), mwanga wake ni mdogo kiasi cha lumen 1000-15000, hivyo zitahitaji chumba kiwe na mwanga hafifu sana au giza kabisa kuweza kuona vizuri, zinatumia betri na zilizo nyingi hazitafaa kwa matumizi ya ofisini au shuleni ingawaje kuna baadhi (kama picopro) zinaweza tumika ofisini kwa presentation ya watu wachache, nazo huuzwa bei juu kulinganisha na nyingine za kundi la mobile projectors.
Professional projector:
Hizi zinauzwa bei juu kidogo kuanzia laki 6 (ebay price), zina mwanga wa kutosha kuweza kutumika hata ofisini au shuleni ie. Lumen huanzia 2500-3500 au zaidi. hufaa kwa matumizi yote.
Kitu kingine cha kuzingatia kwa aina yoyote ya projector ni lamp technology and lamp life. Maana tatizo kubwa la projector ni kufa kwa zile taa zake, na kuna taa ambazo zinadumu kwa muda mrefu bila kuharibika (long lamp life) na taa za muda mfupi (short lamp life). Lamp life hupimwa kwa masaa mfano 3500hrs (short life) au 30000hrs (long life). Upatikanaji wa spare ya taa na gharama yake pia ni vema kuzingatia, kwa kawaida kubadili lamp huweza kughalimu hadi laki 2 kwa professional projector, na wakati mwingine unaweza kukosa kabisa standard replacement kama projector imetengenezwa na kampuni uchwala, hivyo kukulazimu kuweka universal lamp ambazo mara nyingi hulipuka baada ya matumizi kidogo. Kwa Tanzania, wauzaji wa projector za epson ni wengi pia lamp spare hupatikana kwa urahisi, hivyo ni vema uanze kuchunguza brand za epson kama mdau mmoja alivyo shauri hapo juu.
NB: Kwa matumizi ya darasani (shuleni) usinunue projector yenye lumen chini ya 2500
Nawasilisha tafadhali.
Mungu akubariki kwa elimu hiivitu muhimu zaidi kwenye projector
1. resolution
2. lumens
3. umbali wa kuonyeshea.
4. ports unazotaka
resolution ni ubora wa picha, ukikosa kabisa atleaelst 720p kwa lugha nyengine HD (1280x720) ila lenga upate 1080p au full hd (1920x1080)
lumens ni wingi wa mwanga unaotoka kwenye projector kama utaitumia mchana au nje maeneo yenye mwanga itabidi iwe na lumens za kutosha, ikiwa ni ndani au usiku lumens za kawaida zinatosha
kuna projector hata ikiwa umbali wa mita moja tu basi inamulika ukuta mzima wakati nyengine hadi ziwe mbali ndio ziweze kumulika ukuta mzima.
port utaangalia mwenyewe na kifaa utakachotumia, kama ni laptop/desktop itabidi iwe na vga au hdmi au display port, kama ni deki iwe na av cable kama ni simu iwe na MHL, miracast etc
Natafuta projector ambayo inaweza kutumia almost inputs zote mfano simu, laptop deki USB HDMI na nataka kuitumia kwenye mazingila tofauti especially kwenye mwanga mwingi.(kutoa semina kwa maandishi na HD videos)
Kwa maelezo yenu, Nimeipenda Epson, so naomba specification kulingana na matumizi niliyoyataja hapo juu, bei na maduka zinakopatikana (sio e bay)
Natanguliza shukrani wakuu
Asante mkuuMara ya mwisho nilinunua projector ya epson kati ya mwaka 2014 au 2015 kwenye duka la uhuru computers, barabara ya uhuru kariakoo. Specification zote za ile projector sizikumbuki, lakini ilikua:-
Epson EX7230
ANSI lumens 3000
Resolution 720p
Display tech. Tri-LCD
Built in speakers
Interfaces: USB (A & B), HDMI, VGA, na nyingine nimesahau
Keystone Correction both horizontal & vertical ni kati ya +-30 degrees kama sijakosea
Kuhusu bei, jamaa walinipiga laki 8 na nusu.
Projector kama hii inafaa kabisa kwa matumizi uliyoyataja.
Nimepata elimu nje ya darasa thanks for sharingIli upate ushauri mzuri inabidi useme matumizi yako muhimu ya hiyo projector, maana kuna projector zenye matumizi tofauti, tofauti. Kwa mfano:-
Multimedia projector:
Hizi ni nzuri kwaajili ya kuangalia movie, kucheza game na huenda zisifae kwaajili ya presentation. Bei yake ni kuanzia laki 4 (ebay price), mwanga wake mara nyingi huwa haufiki lumen 2500, na zinazo fika, bei hua juu kidogo.
Mobile projector:
Hizi huwa na bei nafuu sana kama elfu 60,000 (ukiagizia toka ebay), mwanga wake ni mdogo kiasi cha lumen 1000-1500, hivyo zitahitaji chumba kiwe na mwanga hafifu sana au giza kabisa kuweza kuona vizuri, zinatumia betri na zilizo nyingi hazitafaa kwa matumizi ya ofisini au shuleni ingawaje kuna baadhi (kama picopro) zinaweza tumika ofisini kwa presentation ya watu wachache, nazo huuzwa bei juu kulinganisha na nyingine za kundi la mobile projectors.
Professional projector:
Hizi zinauzwa bei juu kidogo kuanzia laki 6 (ebay price), zina mwanga wa kutosha kuweza kutumika hata ofisini au shuleni ie. Lumen huanzia 2500-3500 au zaidi. hufaa kwa matumizi yote.
Kitu kingine cha kuzingatia kwa aina yoyote ya projector ni lamp technology and lamp life. Maana tatizo kubwa la projector ni kufa kwa zile taa zake, na kuna taa ambazo zinadumu kwa muda mrefu bila kuharibika (long lamp life) na taa za muda mfupi (short lamp life). Lamp life hupimwa kwa masaa mfano 3500hrs (short life) au 30000hrs (long life). Upatikanaji wa spare ya taa na gharama yake pia ni vema kuzingatia, kwa kawaida kubadili lamp huweza kughalimu hadi laki 2 kwa professional projector, na wakati mwingine unaweza kukosa kabisa standard replacement kama projector imetengenezwa na kampuni uchwala, hivyo kukulazimu kuweka universal lamp ambazo mara nyingi hulipuka baada ya matumizi kidogo. Kwa Tanzania, wauzaji wa projector za epson ni wengi pia lamp spare hupatikana kwa urahisi, hivyo ni vema uanze kuchunguza brand za epson kama mdau mmoja alivyo shauri hapo juu.
NB: Kwa matumizi ya darasani (shuleni) usinunue projector yenye lumen chini ya 2500
Nawasilisha tafadhali.
Ili upate ushauri mzuri inabidi useme matumizi yako muhimu ya hiyo projector, maana kuna projector zenye matumizi tofauti, tofauti. Kwa mfano:-

Mkuu hiki kijamaa vipi kipo vizuri au utopolo kwa bei ya 1.3mil?vitu muhimu zaidi kwenye projector
1. resolution
2. lumens
3. umbali wa kuonyeshea.
4. ports unazotaka
resolution ni ubora wa picha, ukikosa kabisa atleaelst 720p kwa lugha nyengine HD (1280x720) ila lenga upate 1080p au full hd (1920x1080)
lumens ni wingi wa mwanga unaotoka kwenye projector kama utaitumia mchana au nje maeneo yenye mwanga itabidi iwe na lumens za kutosha, ikiwa ni ndani au usiku lumens za kawaida zinatosha
kuna projector hata ikiwa umbali wa mita moja tu basi inamulika ukuta mzima wakati nyengine hadi ziwe mbali ndio ziweze kumulika ukuta mzima.
port utaangalia mwenyewe na kifaa utakachotumia, kama ni laptop/desktop itabidi iwe na vga au hdmi au display port, kama ni deki iwe na av cable kama ni simu iwe na MHL, miracast etc
Hio ni smart tv box, speaker, projector na mambo kibao. Ina make sense kama unataka vyote hivyo portable,Mkuu hiki kijamaa vipi kipo vizuri au utopolo kwa bei ya 1.3mil?
500.98US $ 1% OFF|Xiaomi Mijia Projector Youth Version 2 Full Hd 1080p Auto Focus Mini Portable Projector 4k Video Led Beamer Tv For Home Camera - Smart Remote Control - AliExpress
Smarter Shopping, Better Living! Aliexpress.comwww.aliexpress.com
Unayo tv? Vyema kuchanganya, ila tv ni muhimu zaidi kuwa nayo kwanza kabla ya projector.Kipi bora, ninunue projector au tv kwa ajiri ya kibanda umiza changu?
Nna tv hila nch ndogo sanaUnayo tv? Vyema kuchanganya, ila tv ni muhimu zaidi kuwa nayo kwanza kabla ya projector.
Unajua mkuu projector ina mambo mengi sana ikiwemo umbali baina ya projector na ukuta. Angalia mwenyewe eneo lako, kama ni dogo ongeza tu tv kubwa, wengi kwenye mpira wanatumia Mtumba, angalia tu isiwe plasma.Nna tv hila nch ndogo sana