Ndugu samahanini kwa usumbufu,.nina mdogo wangu kahitimu kidato cha nne,ufaulu wake ni Division III(24)
(kiswahili, english, history, geography)-π
(civics, biology, phyisics, chemistry)-D
mathematics-F
Kwa huu ufaulu je aaply coarse ipi yenye uhafadhari kwa hali ya sasa kwenye vyuo vya serikali ambavyo havina garama sana tofauti na dar es salaam