Naomba ushauri wa kozi ya kusoma

Mbona kuna watu wamesoma PCB na wanapiga engineering.

Mimi ninavyofahamu exception iko kwa core engineering ambazo ni mechanical, electrical na civil. Hizo ndio lazima uwe na principal pass ya D kwenye physics na mathematics.

Engineering zingine almost math na physics hawafanyii consideration sana muhimu uwe umefaulu vizuri. Huwa wanaangalia moja kati ya physics au mathematics.

But inadepend chuo na chuo..
 
Hahahaha ndio maana nikasema yawezekana bado unasoma chuo wewe,

Nitajie chuo chochote Tz kinachotoa engineering na wameandika moja ya sifaya kujiunga ni Bam

Ukinitajia kimoja tu, nakupa 10000 sa hivi!

By the way, hakuna mwanafunzi wa PCB anaechaguliwa engineering kwa time hasa kuanzia 2015 to date,

Acha kuandika usichokijua
 
Na pia,nitajie engineering ambazo hawaangalii math na phy

Nasubiri majibu
 
Wakuu tunaweza kumshauri mtu huyu.
Kapata Phyz D, Chemist C na Bioz C tumshauri course gani? na chuo gani?
 
Acha kumpotosha ,

Kwa PCB sifa anazo lakini,hatopata MD hata hiyo chemical engineering ndio asahau kabisa maana hana Advanced math

Ni sahihi maana hata hizo course nyingine za afya zinahitaji C ya Chemistry so kwa D ya Chemistry sidhani Sana Kama anaweza akapata maan competition Ni kubwa Sana .....

Mwambie achague course nyingine tofauti na za afya hatojuta.
 
ni kweli kiongozi

Ndiyi maana nimechagua production and operation management pamoja na biotechnology
 
Braza tuheshimiane tafadhari...Ukisoma PCB huwezi kwenda Degree ya Engineering kwasababu Hauna Advanced mathematics... Labda atumie cheti cha Diploma.
 
Upo sahihi sana kaka.
 
Kwani wewe ndio unadahili. Kama ana bahati anaweza kupata. Kwamba io flat D wameweka tu.
Kuhusu Advance math. Mara zingine huwa wanaangalia basic math ya O level au bam.
Wee acha uongo huyo hapati MD hata iweje, kwan kwa mwaka huu MD mwsho 1 ya 7 vigezo. Ndo walivyolegeza masharti.
Sasa 2 ya 12 inahusika vipi hapo? Hebu kua seriouz aah
 
Wee acha uongo huyo hapati MD hata iweje, kwan kwa mwaka huu MD mwsho 1 ya 7 vigezo. Ndo walivyolegeza masharti.
Sasa 2 ya 12 inahusika vipi hapo? Hebu kua seriouz aah
Wewe umesoma guide book ya TCU.?

2 ya 12 ni minimum qualification. Kwa hio ako na vigezo.
 
Wee acha uongo huyo hapati MD hata iweje, kwan kwa mwaka huu MD mwsho 1 ya 7 vigezo. Ndo walivyolegeza masharti.
Sasa 2 ya 12 inahusika vipi hapo? Hebu kua seriouz aah
Hakuna kipengele cha kusema Division ya ngapi... ila kuna uchanganuzi wa Points zisizopungua 6 kwa masomo matatu,
Pia masomo lengwa kwa Chemistry, Biology
 
Njoo usome BSC Physics tupo wengi huku ili ujute kama sisi me nishakubali liwalo na liwe acha iniue tu ila kozi ni ya kipimbi afu ngumu balaaaa
 
Wewe umesoma guide book ya TCU.?

2 ya 12 ni minimum qualification. Kwa hio ako na vigezo.
Ouk muambie achague hiyo MD uone km atapata, unabisha tyuuuh huku uhalisia unaujua. Mshauri achague faculty ambayo atakidhi na kufanikiwa kupata. Labda uainishe ni chuo kipi, ila sio hivi ninavyovijua hata mweny 1 ya 9 ngumu kupata, aaah tuwekane wazi bhana.
 
Wee acha uongo huyo hapati MD hata iweje, kwan kwa mwaka huu MD mwsho 1 ya 7 vigezo. Ndo walivyolegeza masharti.
Sasa 2 ya 12 inahusika vipi hapo? Hebu kua seriouz aah
Kuna mambo mawili ya kuzingatia katika hili
1... Entry points as required
2... Competition according to others performance. Ni ngumu kumchagua mtu mwenye CCC kisha ukamuacha wa ABC
Au kumchagua mtu mwenye DCD na kumacha wa CCC.
Au kimchagua a DDD na kumuacha wa CDD
 
Hakuna kipengele cha kusema Division ya ngapi... ila kuna uchanganuzi wa Points zisizopungua 6 kwa masomo matatu,
Pia masomo lengwa kwa Chemistry, Biology
Uko sahihi na pia nashukuru kwa kunirekebisha, ila nikuulize hivi ushawahi kuona mtu mwenye 2 ya 12 anasoma MD? hasa miaka ya karibuni? Hebu tuwe wazi tyuuuh, ili tujenge kitu kizuri na tija kwa muhusika. Tena ikiwezekana ainisha na chuo husika.
 
Ouk nimekuelewa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…