Ndio kama zipi hizo? Vipi akiisomea Economics and finance IFM ni kozi nzuri?rafiki angu angalia upepo wa ajira kama kwenu hammiliki hata duka la rejareja
soma course zenye future
ni hayo tu
Aruke na namba mbili 2. IFMHabari wakubwa,
Kwa heshma kubwa naomba ushauri Kwa Binti /kijana wetu anahitaji ushauri wa ki confirm kozi ambayo itakuwa Bora Zaid kwake Kwa ambazo amechaguliwa.
Kozi zenyewe ni kama ifuatavyo
1. Bachelor of arts in economics_Ardhi university.
2. Bachelor of accounting with Information Technology_IFM.
3. Bachelor of Agriculture Investment and Banking_ Sua.
4. Bachelor of Accounting and finance in Bussiness sector_ Mzumbe university Dar campus
5. Bachelor of Bussiness information technology _ Udom
6. Bachelor of accounting and finance in public sector. _TIA.
Combi aliosoma ni HGE na kufanikiwa kupata div 1.8
History B
Economics C
Geography C
Bam D
Namtegemea ushauri na muongozo wenu
Ni keTujue kwanza ni me au ke
soma course proper ya kada husikaNdio kama zipi hizo? Vipi akiisomea Economics and finance IFM ni kozi nzuri?
Asante sana kwa muongozo.Shukran mkuusoma course proper ya kada husika
mfano Mhasibu anatumbulika kwa urahisi anaposoma course ya Accountancy
Nurse anatambulika akisoma course ya Nursing
Asante sana kwa ushauri naomba nije Dm Kwa muongozo zaidKitaalam hapo nashauri aende Mzumbe akifika abadilishe ahamie BA Economics kwq sababu ana misingi nayo apande nayo mpaka Masters.
Nasema hivyo kwa sababu hizo two Yeara amejengwa kwenye Economics na Geography masomo yanayoendana na Degree atayofanya.
Akiopt BAF ataweza pia ingawa changamoto atakazokutana nazo ni kwenye Course za Accounts na QMs ambazo anazifanya vizuri yule aliyefanya EGM advance.Karibu DM tushauriane zaidi.
KaribuAsante sana kwa ushauri naomba nije Dm Kwa muongozo zaid
Asante sana kwa ushauri naomba nije Dm Kwa ushauri Zaid.Kitaalam hapo nashauri aende Mzumbe akifika abadilishe ahamie BA Economics kwq sababu ana misingi nayo apande nayo mpaka Masters.
Nasema hivyo kwa sababu hizo two Yeara amejengwa kwenye Economics na Geography masomo yanayoendana na Degree atayofanya.
Akiopt BAF ataweza pia ingawa changamoto atakazokutana nazo ni kwenye Course za Accounts na QMs ambazo anazifanya vizuri yule aliyefanya EGM advance.Karibu DM tushauriane zaidi.
Naomba sana kama hutojali no yangu ni 0655 171515 .ni text watsap nahitaji ushauri wako zaid nashindwa kukupata DmKaribu