ahsante kwa kuona km kafanya kosa hii ishu nikiipeleka kifamilia sjui km nitapa haki sababu huyu mtu ni mwongo balaa akifika kwenye vikao anaongopa halafu km vile unafiki mwingi hakuna mtu wa kumkomalia kumuambia ukweli nabaki mwenyewe hivyo hajifunzi. hapa nikishindwa kisheria nachapa lapa tu hiyo ardhi ajenge aishi na mwananguPole ndugu yangu. Ila shida uliyonayo ni ya kifamilia sio kisheria. Kwa uelewa wangu mdogo iyo hati ni halali na wala haina kasoro. Na sheria inatamka wazi kuwa mali mliyochuma mkiwa pamoja ni mali yenu wote , ivo mkeo kafanya kosa ambalo halina adhabu. Hata ungeandka jina lako peke yako bado ni mali ya wawili. Na shukuru jina lako lipo ivo haki yako iko pale pale.
Pia mkikopea iyo doc lazma benki itataka spouse asaini .
Nakushauri either umuombe mkiuze mgawane, au ufanye uhuni mkopee pesa nyingi , surrender hati then ushindwe kuseevice mkopo kwa makisudi ili taasisi ya fedha ikiuze wakati ulishabeba hela yako in advance.
Vinginevo nakuona ukikwama.
Nb ...kwa swala ili kupata haki mahakamani sijui.
Hajakutapeli coz Kiwanja kipo, hajasema huna haki. Sijajua mahakama itakupa haki ipi wakati haki unayo. Wataalam anyway watakuja tu
ahsante.Me nadhan hili jambo ungelifikisha ktka ngaZ ya family ikishindkana ndo uende mahakaman as longer una evidence zote kuwa uligharamia hicho kiwanja kwa asilimia mia... Sion sababu uumizw kichwa kwa hlo jambo dogo.. Moreover unapaswa kuishi ma mwanamke kwa akili ya jicho la tatu
ok ahsante nimekasirika sababu mimi nilichukua loan nikamtumia anunue ardhi yeye anachukua kwa siri kwa nini? alichofanyia hasemi lengo ninini hapa? sikwamba nataka kumpangia na pesa yake hapana ni information tu km kweli kuna future hata information inagomba?Kaka umekasirika vibaya sana. Pole.
Kama mazingira yanaruhusu, mwambie kuwa unataka jina libaki moja kwenye hiyo hati kwa hiyo ajiandae muende wote kubadilisha jina. Kama unaona ni vigumu kufanya hivyo acha tu hiyo haina madhara unless unataka uwe na uhuru wa ku-mortgage property yako itakapokamilika. Japo kuna uwezekano wa kuulizwa consent ya spouse kwenye mortgage sometimes!
Otherwise tulia tu hakuna tatizo sana
hati imetoka kata.hati halisi ipo hapa ndani ila bado sijaisainiHati hiyo umepewa na nani? Hati halisi anayo nani? Jina la kwenye hati hubadilishwa kisheria nje ya mahakama. Mahakama haiwezi kuamuru jina lifutwe kwenye hati.
ahsante.
ndugu acha tu huyu mwanamke tulikua mbali akawa ananituhumu kua hakuna kitu nafanya kuhusu familia ndio nikaamua nibebe loan aone nia niliyonayo kujenga familia imara he nashangaa mauza uza yanaanza
kwenye familia sidhani km nitapata haki sababu ni mwongo halafu vikao sio level ground unafiki mwingi kabisa kwa hiyo unaingia kwenye kikao mnatoka n general conclusion za ohhh vumilianeni hakuna mtu anafunguka kwamba hapa fulani umekosea. ananifanyia mambo ya maudhi ukienda kwenye vikao hamna jipya
]Nimekuelewa kaka kwa unachokisema ila nilikwambia kuwa hili n suala dogo kwa sababu niliwahi kufanya kazi ofis za ustaw wa jamii na kesi za jinsi hii niliwahi kukutana nazo.. Kama unaona ngaZi ya family inashindwa kutatua mgogoro wenu...kama mlifunga ndoa unaweza kiwaona wazee wa kanisa kama n mkristu na bakwata kama ilikuwa ndoa ya kiislam... Narudia tena kama una evidence kuwa ulinunua kiwanja wewe usiogope hata kidogo pia maneno na tabia za uongo za Hyo mwanamke ziskurudshe nyuma uache haki yako iende..
Pia ukiona ngaZi ya bakwata imeshindkana na mke wako anaendelea na tabia zile zile.
Peleka shauri lako ustaw wa jamii.. Ila kumbuka ustaw wa jamii hawasiklz mashtaka ya jinai.. Ila hudeal na mambo ya ustaw wa jamii kuhusu watoto n.k
.. So utengeneze kwa namna jambo hilo linavyoathir ustwi wa mtoto.. By any means mkeo atapinga.. Akifanya hivyo umwambie afisa ustawi wa jamii kuwa unataka suala hlo liende mahakaman... Hapo sasa ndipo utakuwa n muda muafaka wa kumkaanga... Narudia yena make sure una ushahd usio na mashaka .... Kaka usiumizw kichwa kuna watu ustaw wamepatwa na makubwa zaid ya haya huwez amin...
Udimuogope mkeo hao huwa wanatikisa kiberiti
ndugu yaani acha tu ni pasua kichwa si kidogo ahsante kwa ushauriSheria zinambeba sana mwanamke. Kama umezaa nae mtoto wewe usideal nae kwa sana . Ukienda mahakamani utapoteza muda. Anza kufanya mambo yako bila kumshirikisha kwa future yako na mwanao. Wanawake umiza kichwa noma.
mkuu benki zetu hazitaki kiwanja nimezunguka benki nyingi wanasema wanataka biashara ili wakukopesheKopa pesa uweke bond hicho kiwanja alafu uchape lapa na msingi wako.
ahsante mkuuPole sana
Zipo benki nimeona watu wamechukulia mkopo hati ya kiwanja, benki hizi ndogondogo, nikashangaa.mkuu benki zetu hazitaki kiwanja nimezunguka benki nyingi wanasema wanataka biashara ili wakukopeshe
Sasa kwanini ulipa na kuapa yale maneno jamani. Duh kweli mkeo alikosa kuchagua mume.
Hata uweke majina yako 10 yajaze hati mali ni yenu wote, ukimuacha anakula 50/50 nawewe.
Nimependa alichofanya.
Yeye ataweka majina yake au ya ndugu au mzazi eeeh
Umekasirika kakuzidi akili ulifikiri hanazo.