Mfano watoto wa mke mkubwa amejenga nyumba kwenye kiwanja cha familia na wanazidi kuendeleza ujenzi, Mzee alikuwa ana waacha na anasema wanamjengea yeye na wanao jenga wanajua wanajenga nyumba zao.Muiambie Mahakama ikawasaidie kugawana
Wote walifunga ndoa za kimila mwaka 1969.Hao wake wawili yupi Marehemu alifunga naye ndoa
Aaaaaah, teueni msimamizi wa mirathi, yeye ndiye afanye mgawanyo kwa mjibu wa Sheria.
Tutafanya hivyoAaaaaah, teueni msimamizi wa mirathi, yeye ndiye afanye mgawanyo kwa mjibu wa Sheria.
Mfano kwenye kiwanja cha mzee mtoto wa mke mkubwa kashajenga nyumba za kudumu na anaendelea kuwajengea ndugu zake wengine sasa hapo kwenye kugawana si italeta shida kwasababu kujenga kwenye kiwanja ambacho hajapewa na mzee alikuwa anajua anajengewa yeye.Aaaaaah, teueni msimamizi wa mirathi, yeye ndiye afanye mgawanyo kwa mjibu wa Sheria.
Kama hicho kilikuwa ni kiwanja kweli Cha mzee na yeye akaamua kijenga bila kipewa na Mzee au na msimamizi wa mirathi. Hiyo siyo sahihi.Mfano kwenye kiwanja cha mzee mtoto wa mke mkubwa kashajenga nyumba za kudumu na anaendelea kuwajengea ndugu zake wengine sasa hapo kwenye kugawana si italeta shida kwasababu kujenga kwenye kiwanja ambacho hajapewa na mzee alikuwa anajua anajengewa yeye.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Mawazo yao ni mafupi walijua sisi watoto wa mke mdogo hatuta kwenda maisha yote uko kijijini na maisha yote ya mzee wetu tumeishi naye mkoa tofauti na kijijini kwenu, kwayo wao waliianimi eneo la baba ambalo alipewa na Baba yake wataendelea kuwa mali yao, kwasababu sisi hatuja ishi uko miaka mingi, wao kisingizio chao tukigawana mashamba ya uko kijijini tutauza na kwenda kuishi mjini.Kama hicho kilikuwa ni kiwanja kweli Cha mzee na yeye akaamua kijenga bila kipewa na Mzee au na msimamizi wa mirathi. Hiyo siyo sahihi.
Alikuwa ana jenga tokea mzee yupo hai na mzee alikuwa ana muangalia na tukiwa nae anasema mtoto wake ana mjengea nyumba.Kama hicho kilikuwa ni kiwanja kweli Cha mzee na yeye akaamua kijenga bila kipewa na Mzee au na msimamizi wa mirathi. Hiyo siyo sahihi.