Hiyo nyumba haijaisha kabisa na iko kwenye kiwanja kimoja.Nyumba mliyojenga na mali mlizotafuta pamoja zitathaminishwa na kugawanywa. Kutokana na mama kuwa na mtoto mdogo utatakiwa kumuachia nyumba ili asipate taabu na mtoto. Kwahiyo hukumu sheria itagawa lakini atakaebaki na mtoto ndio atapewa kipaumbele.
Utalazimishwa na mahakama uikamilishe kwaajili ya mama na mtoto. Kama huna uwezo itathaminishwa ikiwa ivo ivo na kugawanya thamani yake na mmoja wenu atamfidia mwenzake ili abaki na nyumba.Hiyo nyumba haijaisha kabisa na iko kwenye kiwanja kimoja.
Hii Ni kweli mkuu yanaenda kunikuta ndo nikaomba msaada hapa maana nimehustle mno mnoooo kaa jasho kubwa halafu vitu viende kilahisi hivi?Pole sana hili ni tatizo Kubwa sana kwa Wanaume, Kimsingi sheria inasema vitu vilivyopatikana ndani ya ndoa ni Vya wanandoa, ila kwenye kugawana itaangaliwa nani alichangia zaidi. hivyo hio nyumba wanaweza sena aslimia tano au kumi iende kwa mke...
Unachoweza kufanya ni kuhama kwenye hio nyumba mliyopangisha kwa sasa, kwani sheria inasema mkitengana kwa Miaka 2 inaruhusiwa kuomba talaka. ila muone Mwanasheria mwanaume mwenye uzoefu kwa ushauri zaidi. ila kwa kuanza ni kuondoka hapo na kupanga nyumba nyingine.Hii Ni kweli mkuu yanaenda kunikuta ndo nikaomba msaada hapa maana nimehustle mno mnoooo kaa jasho kubwa halafu vitu viende kilahisi hivi?
Kama Ni Mali nyingine Niko radhi kumpa zote ila sio hivi viwanja na nyumba noo.
Brother sio kila mtu anajua kila kitu,istoshe Niko frustrated vibaya mno huo muda wa kutafuta madodoso na kuyaelewa kwa Sasa nautoa wapi?Si nasikia siku hizi sheria ni kwa Kiswahili, vipi wewe bado hujapata madodoso na nakala husika?
Nilitegemea uwe mjuzi wa sheria za Kiswahili?