nouma kweelKuna daktari mmoja baba yake pia alikuwa daktari bingwa na yeye kasomea Urusi ,mtaalamu sana hapa nchini
Ukiingia kwenye gari yake kama vile upo Jamaica na kabla ya kwenda kufanya operation lazima apige msuba pafu au vipisi kadhaa
Kwa namna unavyovuta wengine wanavuta ili wapate kujiamini kabla ya presentation anavuta ,mwingine anavuta kwa starehe tu ,wengine wana njaa plus stress plus mawazo akivuta itampelekesha tu sababu atakuwa anawaza sana na depression humpeleka kwenye uchizi
Huu ndio ushauri wa kiafya? Muwe mnasoma basi kuliko kukurupuka.Kuvuta bangi ni kosa la jinai kama kuiba, kukaba na kubaka. Kwa ushauri wangu, si vyema sana kushirikisha watu nia yako ovu ya kutenda kosa la jinai la aina yoyote pamoja na kuvuta bangi.
Naomba ninukuu "sasa kabla sijaaanza kuvuta nataman nijue" Hichi ndicho ninacho mshauri.Huu ndio ushauri wa kiafya? Muwe mnasoma basi kuliko kukurupuka.
Nimekusomanaomba ushaur wakiafya mwingine kaushia
inakuaje sasa wengine wanadata maaana naweza kua kundi hiloocjajua nianzie wapi kukushauri, ila leo test tena, vuta stiki kama tano hivi, kisha njoo katika huu uzi, pitia ushari mmoja baada ya mwingine, ukiweza maliza bila ya kupanic, ganja inakufaa, ila ukishindwa acha..maana jamaa alikuwa anavutia ndani huku huku akicheki documentary ya amazon, kule mvua mwanzo mwisho, kipindi kilipoisha, akatoka nje na mwavuli
Kuwa ni kosa nahuakika hata mtoa mada anajua kuwa bangi si halali Tanzania, Pamoja na kuwa si halali alitaka kujua ina madhara gani kiafya endapo akiitumia.Naomba ninukuu "sasa kabla sijaaanza kuvuta nataman nijue" Hichi ndicho ninacho mshauri.
Uwezi ukatangaza genye alafu ukanichagulia namna ya kukudo, ukitoa thread is open for everything.Kuwa ni kosa nahuakika hata mtoa mada anajua kuwa bangi si halali Tanzania, Pamoja na kuwa si halali alitaka kujua ina madhara gani kiafya endapo akiitumia.
Bila kufuata kichwa cha habari na kiini cha mada tunakuwa tunajadili sasa kama vijiweni ,kuwa open forum haimaanishi mada za jukwaa la dini ukachangia kama jukwaa la wakubwa it's open ndio mawazo yoyote yanaheshimika/yataheshimika endapo yatakuwa kwenye mada.Uwezi ukatangaza genye alafu ukanichagulia namna ya kukudo, ukitoa thread is open for everything.