Naomba ushauri wa kina wa kiafya zaidi juu ya uvutaji bangi

bhangi ni vile unavyo nuia kabla ya kuvuta, ukinua kuwaza yako na kutojari ya mtu itakuwa hivo.

wengi bhangi zinawashinda kwa kuwa wanavuta wakiwa hawajala, ama wana mawazo maovu ndio maana huishia kufanya ya ajabu.

vuta bhangi huku unawaza mambo positive, hukawii kujihisi unaonana na uhuru kenyata. ila vituko vya bhangi mwanzoni ni kwere.
 
4.Usivutie maskani/kijiweni au kwenye maeneo hatarishi.nunua mzigo wako.vutia sehemu tulivu.
5.Usitumie kwenye jua kali ama joto kali.shtua jioni baada ya kazi.ukiwa relaxed
6.Nimarufuku kulanduka ukiwa na njaa au kiu.raha ya mneli uwe umeshiba,pembeni unamaji ya kunywa,juice na madikodiko kama korosho,karanga,keki,cookies,kashata za nazi,ufuta,biskuti,vileja au mapokopoko mengineyo
 
Upo vizuri
 
dah nouma saaana
 
Kwa afya ya akili bhangi inadumaza uwezo wa kufikiri,
Madhara haya hayaonekani haraka inachukua muda kidogo(kama ni kijana wa 18+ basi subiri kwenye 48+.
 
Inaathiri kumbukumbu kwa mfano ukiwa umevuta halafu unapiga stori ukafanya kitu kingine ndani ya sekunde chache umeshasahu ulichokua unaongea
 
Kama kichwa kinavodai mie nimevutiwa na huu mmea haswa kutokana na tabia za watu niliokaanao ambao wanatumia niwatu wapole saana na hawajali maisha ya watu yaaani wanajalii yao tu pia sijawai kuwaona wakifanyiana kislan sasa kabla sijaaanza kuvuta natamani nijue kwanini wengine wanakua machizi wengine fresh na athari nyingine za kiafya tu
Jali afya yako kwanza.. Ukiijali Ganja haitokusumbua na utaifurahia zaidi
 
ila wavuta ganja misimamo ya ajabu, kuna mmoja kitaa ananunu(ga) haya ma tishert ya buku 20-30 anayakata kaushi

sijawah muona na nguo hajaikata, ila hana habari na mtu
 
Kama kichwa chako chepesi/kichwa maji au kwenye ukoo wenu kuna historia ya magonjwa ya akili kaa mbali na huo mmea,.kama uko sawa na kichwa kina stamina,ruksaa,usisahau kula tu na maji kwa wingi.
Hapo kwenye kula na maji mengi....Umesema kweli maji yanasaidia Sana mkuu

Nimeandika tu Ila sijui chochote....

"Maji Ni uhai"
 
Back
Top Bottom