McCain JF-Expert Member Dec 2, 2016 1,169 517 Feb 14, 2017 #1 Uko kwenye biashara yako mteja wako umemhudumia ukamaliza hatimaye mmoja anamtukana mteja mwenzake je, mwenye ofisi utakuwa shahidi wa aliyetukanwa?
Uko kwenye biashara yako mteja wako umemhudumia ukamaliza hatimaye mmoja anamtukana mteja mwenzake je, mwenye ofisi utakuwa shahidi wa aliyetukanwa?
rubii JF-Expert Member Feb 22, 2015 13,633 17,593 Feb 14, 2017 #3 Itakavyokuwa ndivyo hivyo hivyo mkuu
STUNTER JF-Expert Member Dec 15, 2015 13,075 17,237 Feb 14, 2017 #5 Hakuna kitu cha bure awamu hii, na hakuna ushauri wa bure