officialstawa
Member
- Sep 30, 2016
- 95
- 18
- Thread starter
-
- #81
ndio nina CCD EGMNa iyo mwakani sifa unazo lakini mana si tunaingia third round tuna GPA ya 3.4 bado Ndalichako anatufikiria hatujachaguliwa, lakini kuna watu wana GPA 3.0 wamechaguliwa tokea first round sijuw wametumia formula gani nchi yetu mashaka matupu ata ukitaka kusoma pia ni shida ukiacha nishida ukisoma ni shida
cbe pia wapo kwenye itabu cha tcu so sizani kama wana direct chuon
worry out dada wanafungua system soon sema baadhi ya kozi na vyuo vimejaa.kwenye tangazo wamesema wanaotakiwa ni waliojiregister na sio new applicant
mwka huu hatar ata ukiwafuat watakwambia njoo mwakanworry out dada wanafungua system soon sema baadhi ya kozi na vyuo vimejaa.
worry out dada wanafungua system soon sema baadhi ya kozi na vyuo vimejaa.
mie nataka kusoma educationasante nashukuru kaka angu
Basi akakojoe na alale ..kwenye tangazo wamesema wanaotakiwa ni waliojiregister na sio new applicant
kipo wapi icho chuo?Jaribu mount kama muda haujaisha coz mount meru wale wanapokea direct
Basi akakojoe na alale ..
Umeamini dada hatimaye wiki ijayo wanafungua kaa tayari.asante nashukuru kaka angu
ndio asante kaka anguUmeamini dada hatimaye wiki ijayo wanafungua kaa tayari.
Subiri kuolewa na kupigwa show tu
Mpotezee hapa ni Jfa think una watoto kama huna utapata uwape ushauri kama uo baba asantee
pouwa ila anabohaaMpotezee hapa ni Jf
Anawaza kupiga miti tu.pouwa ila anabohaa