goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,153
Siku nyingine usikae siti ya mbeleNgoja wahusika waje..!!
Epuka kua na kuangalia picha chafu kwenye simu yako pia kama unampenzi unafanyeje tena punyeto? Unakua huridhiki au?Nana umri wamiaka 24 sasa. Tangu nipo kidato cha nne mwaka 2010 nilianza kupiga punyeto. Kiukweli imeniathiri sana. Ninae mpenzi but nashukuru mungu ninamridhisha vizuri tu. Lakini mm nikitoka hapo naingia bafuni kukamilisha starehe yangu kwa kupiga punyeto.
Naombeni ushauri wadau nifanyaje maana nimechoka mchezo huu mchafu.?