W wingi van moses jr Member Mar 4, 2017 9 0 Mar 16, 2017 #1 naomben ushaur mm nina ICT CERTIFICATE nataka kurudi shule nkachukuwe ufundi pale veta kipawa naombeni mnishaur nkasome course ipi ya ufundi
naomben ushaur mm nina ICT CERTIFICATE nataka kurudi shule nkachukuwe ufundi pale veta kipawa naombeni mnishaur nkasome course ipi ya ufundi
Emanueli macha Senior Member May 13, 2017 152 69 Aug 7, 2017 #3 Plumbing Bomba au nenda moshi ukasome boiler Sent using Jamii Forums mobile app
A asherinangay Member Dec 16, 2016 12 5 Aug 7, 2017 #4 Kawe plumber hela njenje Sent using Jamii Forums mobile app