Naomba ushauri, nimwambie ukweli?

Naomba ushauri, nimwambie ukweli?

far abla

Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
8
Reaction score
10
habari zenu? naombeni ushauri ndugu zangu, nmeolewa nina miezi mi5..kabla sijakutana na mume wangu nilikuwa na mahusiano na kaka mmoja kwa mda wa miak mi2..ndo alikuwamwanaume wangu wa kwanza...nilikutana nae nikiwa form six,

Kipindi hiko alikuwa anafanya kazi hapa dar..baada kuishi miaka mi2 ya mahusianao alipewa transfer kwenda musoma, mwanzoni tulikuwa tunawasiliana vizuri, kama mnavyojua long distance relationship ilivyo ngumu visa vikaanza akawa haniamini, wivu akipiga smu ikiwa offline anantukana tukaamua tubreak up kla mtu akachukua 50 zake...nikakutana na mwanamme mwingine ambae ndio mume wangu....

Nimemaliza chuo sina kazi, mume wangu akanitafutia kazi akanitambulisha kwa rafiki yake, ambae ndio boss wa hiyo sehem,siku nakuja kukutana na rafiki wa mume walisoma wote high school....kumbe ni x-boyfriend wangu(baada kupotezana miaka mi3), siku ya kwenda kufanya interview ikafika mume wangu akanipeleka mpk ofisini...

Alivyonishusha tu ile anageuza mi nikapanda zangu daladala nikarudi home bila taarifa na sim nikazima...nikajua atampigia sim rafikiye amwambie sijafika, kweli alimpigia akamwambia kuwa sijafika..rafiki yake akamwambia mbona nimemleta mwenyewe, sijui waliongea nini ila baadae rakifi yake anasema akampigia tena sim kumwambia ameniona na wameshanifanyia interview kitu ambacho si kweli...

Siku ile sikufanya interview lakini akamuongopea rafikiye nimefanya...baada ya siku chache nikaitwa kazini, nilikimbia interview kwa makusudi lakini nimeitwa kazini bila kufanya interview....mume wangu anajua nilifanya interview, rafikiye amemdanganya kuwa nilifanya. najiuliza kwann amemuongopea rafikiye nilifanya interview wakati sikufanya then wameniita kazini, j3 natakiwa nikareport...

Kwami sitaki kufanya kazi pamoja na x-boyfriend wangu naona hakuna mwisho mzuri, najiuliza nianz e vipi kumwabia mume wangu sitaki kufanya kazi pale lazima atauliza sababu...niimwambie ukweli km rafikiye aliwahi kuwa mpenzi wangu.... naogopa reaction yake atanichukuliaje?

Toka anitambulishe kwa x-boyfriend wangu alianza kunitumia messages za kijinga nikablock namba yake...

Naomba ushauri nmuelezeje mume wangu anielewe bila kuharibu ndoa yangu na urafiki wao?
 
Pole sana
Ila cha msingi mwambie ukweli mumeo na pia mwambie uyo ex wako asikuzoe cz atakuharibia mahusiano yako....
 
Tatizo liko hivi...
1. Huyo X atakunyima amani huko kazini, efficiency itakuwa ndogo na ukimkazia mtakuwa na mahusiano mabaya mwishowe utahama tu ofisi kwa kuacha kazi.
2. In case ikitokea dispute isiyovumilika huko ofisini ukaja kumwambia mumeo lately hatakuamini kabisa.. Swali atauliza ni "kwann hukuniambia mapema?" Imani itakuwa ndogo sana kwako na itatingisha ndoa yako..

Cha kufanya; Tafuta namna ya kuachana na hiyo kazi bila kumwambia mumeo ati huyo msela wake alikuwa anakukamatia zamani..
Unajua wanaume hatujuskii vizuri pale unapojua msela wako ndo alizindua njia kuu unayoringia leo..
 
Lkn Je,
Kunaubaya wowte kma ukimwambia na ukamfafanulia hali halis huyo x boyfriend ili ukaendelea na kaz na we na yy mkaheshimiana kma MTU na sister in-law wake , kwa maana we na yy x boy ndio mnafaham ukwel xx up ukwel wenu ukaishia chinchin bila kumbuguz babamwenye nymba yaaaan mmeo
 
Ila eee Mungu tunakoelekea tutakua tunaoa madem wa baba zetu maana kaaaa kaz IPO,unakita alipopit hyu ndio Leo yupo yule xx mmmmmhu
 
Some stories are rather kept untold.

Kweli humuweka mtu huru, lakini ukweli mwingine unaweza kuibua huzuni na maumuvu!

Na ukinyamza akaja kujua mwenyewe itakuwa mbaya zaidi!

Hiyo company haina branch tofauti na hiyo office ya x wako?
 
Mungu hakukosea kusema ukweli humuweka mtu huru, na uhuru huo ndio unaoleta amani na faraja ndani ya mioyo ya wanadamu. Palipo na ukweli hamna mafarakano na mashaka. Nimefurahishwa sana na kitendo cha kumkwepa huyo X wako ili tu utunze heshima ya ndoa yako na wewe mwenyewe kwa ujumla.

Kama usiposema ukweli sasa hivi, Je ikitokea wao kwa wao wakaambiana unadhani mmeo atajihisi yupo salama kwako!? Na atafikiria kwanini muda huo hukumwambia. Unatmueka ktk hali kubwa sana ya mawazo.

Siku zote katika mapigano au katika mashindano ukimuona mtu amekushambulia na wewe ndo unajipanga ujue utamshambulia wapi. Hii ni indicator na umeoneshwa kuwa huu ni wakati muafaka wa wewe kufanya marekesho kwa Mme na X wako.

Ushauri wangu, mwambie mmeo ukweli wote kama ulivyoeleza hapa, na kama kuna mengine usisite kumueleza. Hata mume awe mkali vipi, kwa kesi ilivyo lazima atakusifu na kukuona wewe ni shujaa. Mueleze mmeo ukweli naye atakuelewa.

Nakutakia kila la heri!
 
habari zenu? naombeni ushauri ndugu zangu, nmeolewa nina miezi mi5..kabla sijakutana na mume wangu nilikuwa na mahusiano na kaka mmoja kwa mda wa miak mi2..ndo alikuwamwanaume wangu wa kwanza...nilikutana nae nikiwa form six, kipindi hiko alikuwa anafanya kazi hapa dar..baada kuishi miaka mi2 ya mahusianao alipewa transfer kwenda musoma, mwanzoni tulikuwa tunawasiliana vizuri, kama mnavyojua long distance relationship ilivyo ngumu visa vikaanza akawa haniamini, wivu akipiga smu ikiwa offline anantukana tukaamua tubreak up kla mtu akachukua 50 zake...nikakutana na mwanamme mwingine ambae ndio mume wangu....nimemaliza chuo sina kazi, mume wangu akanitafutia kazi akanitambulisha kwa rafiki yake, ambae ndio boss wa hiyo sehem,siku nakuja kukutana na rafiki wa mume walisoma wote high school....kumbe ni x-boyfriend wangu(baada kupotezana miaka mi3), siku ya kwenda kufanya interview ikafika mume wangu akanipeleka mpk ofisini...alivyonishusha tu ile anageuza mi nikapanda zangu daladala nikarudi home bila taarifa na sim nikazima...nikajua atampigia sim rafikiye amwambie sijafika, kweli alimpigia akamwambia kuwa sijafika..rafiki yake akamwambia mbona nimemleta mwenyewe, sijui waliongea nini ila baadae rakifi yake anasema akampigia tena sim kumwambia ameniona na wameshanifanyia interview kitu ambacho si kweli...siku ile sikufanya interview lakini akamuongopea rafikiye nimefanya...baada ya siku chache nikaitwa kazini, nilikimbia interview kwa makusudi lakini nimeitwa kazini bila kufanya interview....mume wangu anajua nilifanya interview, rafikiye amemdanganya kuwa nilifanya. najiuliza kwann amemuongopea rafikiye nilifanya interview wakati sikufanya then wameniita kazini, j3 natakiwa nikareport...kwami sitaki kufanya kazi pamoja na x-boyfriend wangu naona hakuna mwisho mzuri, najiuliza nianz e vipi kumwabia mume wangu sitaki kufanya kazi pale lazima atauliza sababu...niimwambie ukweli km rafikiye aliwahi kuwa mpenzi wangu.... naogopa reaction yake atanichukuliaje? toka anitambulishe kwa x-boyfriend wangu alianza kunitumia messages za kijinga nikablock namba yake...naomba ushauri nmuelezeje mume wangu anielewe bila kuharibu ndoa yangu na urafiki wao?
Ndoa ina mie5, labda ufanye hivi mweleze mmeo ukweli kuwa lengo nikulinda ndoa yako pamoja na yy mweleze hivyo na iwapo kweli huyo mwanaume ni muungwana ataelewa na kukutafutia kazi nyingine. For me km ningekuwa ni huyo mmeo ningelewa situation iwapo ungeniambia ukweli
 
Nakushaur wew kafanye kaz apoapo usikimbie .Kuwa kama magufuli Apa kazi tuu weka madlock kule chini
 
habari zenu? naombeni ushauri ndugu zangu, nmeolewa nina miezi mi5..kabla sijakutana na mume wangu nilikuwa na mahusiano na kaka mmoja kwa mda wa miak mi2..ndo alikuwamwanaume wangu wa kwanza...nilikutana nae nikiwa form six, kipindi hiko alikuwa anafanya kazi hapa dar..baada kuishi miaka mi2 ya mahusianao alipewa transfer kwenda musoma, mwanzoni tulikuwa tunawasiliana vizuri, kama mnavyojua long distance relationship ilivyo ngumu visa vikaanza akawa haniamini, wivu akipiga smu ikiwa offline anantukana tukaamua tubreak up kla mtu akachukua 50 zake...nikakutana na mwanamme mwingine ambae ndio mume wangu....nimemaliza chuo sina kazi, mume wangu akanitafutia kazi akanitambulisha kwa rafiki yake, ambae ndio boss wa hiyo sehem,siku nakuja kukutana na rafiki wa mume walisoma wote high school....kumbe ni x-boyfriend wangu(baada kupotezana miaka mi3), siku ya kwenda kufanya interview ikafika mume wangu akanipeleka mpk ofisini...alivyonishusha tu ile anageuza mi nikapanda zangu daladala nikarudi home bila taarifa na sim nikazima...nikajua atampigia sim rafikiye amwambie sijafika, kweli alimpigia akamwambia kuwa sijafika..rafiki yake akamwambia mbona nimemleta mwenyewe, sijui waliongea nini ila baadae rakifi yake anasema akampigia tena sim kumwambia ameniona na wameshanifanyia interview kitu ambacho si kweli...siku ile sikufanya interview lakini akamuongopea rafikiye nimefanya...baada ya siku chache nikaitwa kazini, nilikimbia interview kwa makusudi lakini nimeitwa kazini bila kufanya interview....mume wangu anajua nilifanya interview, rafikiye amemdanganya kuwa nilifanya. najiuliza kwann amemuongopea rafikiye nilifanya interview wakati sikufanya then wameniita kazini, j3 natakiwa nikareport...kwami sitaki kufanya kazi pamoja na x-boyfriend wangu naona hakuna mwisho mzuri, najiuliza nianz e vipi kumwabia mume wangu sitaki kufanya kazi pale lazima atauliza sababu...niimwambie ukweli km rafikiye aliwahi kuwa mpenzi wangu.... naogopa reaction yake atanichukuliaje? toka anitambulishe kwa x-boyfriend wangu alianza kunitumia messages za kijinga nikablock namba yake...naomba ushauri nmuelezeje mume wangu anielewe bila kuharibu ndoa yangu na urafiki wao?
Rudi kazini fasta.magufuli kasema apa kazi tu so kule chini kaweke mapadlock ex boy asipate nafas
 
nakuhakikishia ukianza kwa ukweli,utaaminika na mmeo kupita alivyokuamini sasa. lkn lazima uwe tayar kwa reaction yoyote itakayotokea kwan itakua ni ya muda tuu.
 
X huyo anataka akuharibie, kazi utapata tu, tena nzuri kuliko hiyo. .
Shikamana na mumeo, ukiamka fanya vitu awe kwenye good mood, then muweke chini mwambie ukweli wote bila kuacha a detail. .
 
Kama kuna namna unaweza kwepa kufanya hiyo kazi kwepa. Ila pia kumweleza mumea ukweli mh naona pagumu hapo.
 
sio kila kitu cha kumuambia mume wewe wewe nenda kazini kula mkataba wako ukisoma upepo kama atakusumbua sana tafuta kazi sehemu ingine ila kwa sasa nenda anza kazi na huyo x sijui y achana nae .labda kama kampuni ni yake

Kwahiyo kama kampuni ni yake ndio afanyeje?
 
Kwanza kabisa mpaka hapa huko sahihi kwa asilimia zote. Kwa sasa anza kwa kumwambia mumeo kuwa licha ya kuwa umeshinda interview, hupendi kufanya kazi mazingira yale na kwamba unamwomba akutafutie kazi sehemu nyingine. Wakati unafanya hili jiandae kisaikolojia kwa changamoto mbalimbali ikiwemo mumeo kushindwa kukuelewa (hajui siri iliyopo) na kukaa muda mwingine mrefu bila kazi.

Ukiona mambo yanakuwa magumu sana, kwa muda mwafaka na sehemu sehemu nzuri (kama hamna watoto nyumbani patafaa zaidi)na umweleze kila kitu. Mweleze hatari unayoiona mbele ya safari ya kazi yako na maisha yenu ya ndoa kiujumla wake. Msihi kuwa asimwulize chochote rafiki yake ili kuendeleza amani ilyopo.

Ningekuwa mimi ningekuelewa, kukupenda na kukuthamini zaidi hata kama huna kazi. Naamini mumeo (na wanaume wengi wasipenda urahisi wa kijinga) atakuwa hivyo pia. Hongera kwa msimamo thabiti na kila la heri.
 
Back
Top Bottom