Naomba ushauri, nimeharibu mahali

Wakuu naomba mnishauri kwa hili tafadhalini sana, nipo chini ya miguu yenu.

Ni hivi kuna binti nimetoka kufanya nae mapenzi asubuhi hii nikajikuta natoa boko bila kujua na binti yupo kwenye siku za hatari.

Ushauri wenu ni wa muhimu sana kwangu.
Asubuhi mpaka sasa hujachelewa sana.. Nitafutie nguo ya ndani mliyofutia
 
Huu ndio muda sahihi sasa wa wewe kukaa na huyo binti mumchagulie mtoto wenu jina.

Ushauri wangu;-

Akiwa babygirl muiteni Dorothy
Akiwa mwamba muiteni Mwigulu

Ni ushauri tu mkuu, maamuzi ni yenu. Mnaweza muita hata Nchemba. Hili ni unisex
Dorothy huyu huyu shemeji yake gwajima?
 
  • Kicheko
Reactions: Pep
Wakuu naomba mnishauri kwa hili tafadhalini sana, nipo chini ya miguu yenu.

Ni hivi kuna binti nimetoka kufanya nae mapenzi asubuhi hii nikajikuta natoa boko bila kujua na binti yupo kwenye siku za hatari.

Ushauri wenu ni wa muhimu sana kwangu.
Tulia atakuja jitambulisha mwenyewe kwa wazazi wako kama ww ni muhusika
 
kwani shida nn mkuu?? mimba ikiingia si unalea mimba anazaa mnalea mtoto basi kwani kuna kikubwa kipi cha kuombea ushauri?? mi nkajua labda kuna bonge la tatizo
 
Wakuu naomba mnishauri kwa hili tafadhalini sana, nipo chini ya miguu yenu.

Ni hivi kuna binti nimetoka kufanya nae mapenzi asubuhi hii nikajikuta natoa boko bila kujua na binti yupo kwenye siku za hatari.

Ushauri wenu ni wa muhimu sana kwangu.
Hongera mzee,acha uoga...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom