Naomba ushauri: Nilipata math D, physics D na Geography C, watanikubalia?

Bryann01

Member
Jul 2, 2014
35
1
Ninachukua combination ya PGM, na pass marks zake nilipata ni DCD na mimi nataka kubadilisha coz wamenipangia HGL kwa pass mark ya CCB, nimetuma maombi ya kubadilisha comby mkoani na sasa hivi nasubiria jibu kama watakuwa wamenikubalia ili nihamie PGM. kuna friend wangu alikuwa anachukua PCB,yeye alipita kwa pass marks ya DDB- na amechaguliwa combination hiyo ya PCB,kwa mtazamo wako,unaona watanikubalia au laa?

Note:walisema ukipata D kwenye somo lolote umefaulu hilo somo.
 
Dah hyo noma arifu muulize katumia janja gani huyo rafiki yako ili nawe utumie maana PCB ina hyo grade ni noma chali anguuu
 
Utakuwa umefaulu hlo somo ila kumbuka D siyo credit pass bali ni pass ya kawaida ila C ndo credit pass so muulize fresh hyo swahiba ili nawe ufanye kama yeye alivyo fanya kama anamjomba wake au nani wake huko baraza mwabie hiii ndo tanzania yetu bana
 
ahsante mwana..nimemuuliza ameniambia hajafanya chochote kuhusiana na hilo
 
Ninachukua combination ya PGM, na pass marks zake nilipata ni DCD na mimi nataka kubadilisha coz wamenipangia HGL kwa pass mark ya CCB, nimetuma maombi ya kubadilisha comby mkoani na sasa hivi nasubiria jibu kama watakuwa wamenikubalia ili nihamie PGM. kuna friend wangu alikuwa anachukua PCB,yeye alipita kwa pass marks ya DDB- na amechaguliwa combination hiyo ya PCB,kwa mtazamo wako,unaona watanikubalia au laa?

Note:walisema ukipata D kwenye somo lolote umefaulu hilo somo.

Kwa nini unataka kubadili kombi?
 
Uwezo wako wa kusoma PGM au PCB ni mdogo,jaribu kombi nyingine brooo,tumepita hukoo!!!Msitu wa Physics ya Advance Si Mchezo
 
Tena asidharau kabisa ushauri wa wadau...achana na PGM na PCB,kwa uwezo wako komaa na hiyo HGL
 
coz ndoto yangu ipo PGM..

Good, Then go for it!! Miluzi mingi hupoteza mbwa..mi nadhani hii ndio ilikua sababu ya msingi wewe kuenda huko... ugumu upo( hata huko art) kila sehem, chakufanya nenda kaongee nao kama wakikubali (na hata wakikataa kombi yeyote utayoenda zingatia haya) then weka nia na uanze kusoma na usipende skiza sana maneno ya wakatiaha tamaa...kila la heri..
 
Acha kumpotosha mdogo bana, watu wengine sijui mnaroho za aina gani, watu wanampa ushauri wa maana we unamjaza ujinga, we kama Physics ya O'level unapata D unategemea Advance ataiweza? Maths ya kawaida kapata D Pure Advanced Maths ataiweza?!! akifail utapata faida gani?

Si kwamba hana uwezo class hilo hatulijui, lakini matokeo yake hayo ya O'level yanadhihilisha hana MSINGI mzuri wa hayo masomo, na asikudanganye mtu kama huna msingi mzuri wa Physics na Hesabu olevel huko juu hutaiweza kamwe maana ni mwendelezo na kwa upana zaidi wa yale ya nyuma tofauti na disciplines nyingine.
 
namm nilikuaga hivyo hivyo ila namshkuru mungu wakanishauri humu humu kabla sijaharibikiwa..... nilichojifunza ni kwamba wazazi watafarijika pale utakapo fahulu advance na kujiunga na elimu ya juu na si mchepuo wako sjui PCM, PGM na mwenzao PCB.
 
Mkuu,ukipata basic Maths na Physics O level D,hata C si vema kuchukua Phys au Adv.Maths A Level,UTAFELI!
 
Ahsanteni wakubwa kwa ushauri wenu..but cjawahi kufikiria ukichukua HGL unakuwa m2 anayefanya kazi gani?naombeni mnisaidie na hilo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom