Naomba ushauri: Nilipata math D, physics D na Geography C, watanikubalia?

Naomba ushauri: Nilipata math D, physics D na Geography C, watanikubalia?

Uwezo wako wa kusoma PGM au PCB ni mdogo,jaribu kombi nyingine brooo,tumepita hukoo!!!Msitu wa Physics ya Advance Si Mchezo




sikweli kama mtu akifeli phz au math olevel inamaana anauwezo mdogo!yapo mambo mengi yanayo changia mwfnz kutokufanya vizuri ikiwemo uhaba wa walimu wa masomo husika na miundoombinu mbalimbali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom