Ninachukua combination ya PGM, na pass marks zake nilipata ni DCD na mimi nataka kubadilisha coz wamenipangia HGL kwa pass mark ya CCB, nimetuma maombi ya kubadilisha comby mkoani na sasa hivi nasubiria jibu kama watakuwa wamenikubalia ili nihamie PGM. kuna friend wangu alikuwa anachukua PCB,yeye alipita kwa pass marks ya DDB- na amechaguliwa combination hiyo ya PCB,kwa mtazamo wako,unaona watanikubalia au laa?
Note:walisema ukipata D kwenye somo lolote umefaulu hilo somo.
Note:walisema ukipata D kwenye somo lolote umefaulu hilo somo.