Said Mshana
Senior Member
- Jul 10, 2016
- 105
- 152
Unataka kusoma chuo ili baadaye uwe nani ? Mwalimu? Marketing Officer? au Procurement officer
Nenda hiyo Bachelor of art with EducationNimetokea kuzipenda kozi zote na sina mtu wa karibu wa kunishauri ndo mana nimeamua kuja huku kwenye jukwaa ili niweze kupata japo ushauri ni kozi ipi niweze kuconfirm, ila kiukwel napenda zote japo hali halisi ya mtaani inanipa wakati mgumu nichague kipi niache kipi
Hata kama humjui jitahidi walau kuwa na huruma unapotoa ushauri.Nenda hiyo Bachelor of art with Education
Nimetokea kuzipenda kozi zote na sina mtu wa karibu wa kunishauri ndo mana nimeamua kuja huku kwenye jukwaa ili niweze kupata japo ushauri ni kozi ipi niweze kuconfirm, ila kiukwel napenda zote japo hali halisi ya mtaani inanipa wakati mgumu nichague kipi niache kipi
Mmmh mpaka naogopaHaya mambo haya si mchezo nikicheki pale home bro kaua BCOM udsm tangu 2013 mpaka leo kaishia kuuza duka la mtu wa darasa la saba.
Kapige marketing na wakati unasoma hakikisha unaandaa plan ya ku survive mtaani maana ajira huku ni magumashi.
Hayo makozi uliyochagua ni ya hovyo.Nimetokea kuzipenda kozi zote na sina mtu wa karibu wa kunishauri ndo mana nimeamua kuja huku kwenye jukwaa ili niweze kupata japo ushauri ni kozi ipi niweze kuconfirm, ila kiukwel napenda zote japo hali halisi ya mtaani inanipa wakati mgumu nichague kipi niache kipi
Yan procurement officer afanye kazi za finance na accounting?acheni kudanganya vijana jamaniHayo makozi uliyochagua ni ya hovyo.
Isipokuwa hiyo ya mwisho ya Procurement kidogo ni ya kijanja kwa sababu ukiisomea unaweza kufanya kazi kama procurement officer,store keeper,supply chain na ukikosa nafasi hizi kuna masomo mengi yanaingiliana na watu wa Finance and accounting una uwezo wa kujiongeza ukafanya kazi za kiuhasibu.
Ila hicho chuo sasa hata sikijui hicho sijui mocu
Yan procurement officer afanye kazi za finance na accounting?acheni kudanganya vijana jamani
Finance anaweza akawa procurement officer but vice versa is not possible..Nimesema mambo yao mengi yanaingiliana.
Kwani wewe umeona kazi za finance ni ngumu sana ama?Hivi unafahamu kwamba miaka ya nyuma kabla kozi za procurement hazijaanza watu waliosomea finance ndio walikuwa wanafanya kazi za procurement?Hapo utofauti ni majina tu ya kozi lakini mambo ni yale yale tu.
Finance anaweza akawa procurement officer but vice versa is not possible..
Nimeipenda hii ndugu mwanachuowhen someone become seriously then someone else bring a jokes