kumbuka kubweteka ukienda chuo, sawa kijana? maana hamchelewagi nyie mnaosomeshwa...
kuna wenzenu huku wameishia kuvutishwa bangi, kunyweshwa pombe na kuibiwa personal properties zikiwemo laptops sababu ya umbumbumbu na kujiona kuwa they pay nothing to get something... mwisho wa siku wafadhili wakakata kamba, vyuo navyo visivyo na mizaha, unaitwa tu kupitia notice board, unakufa kimya kimya!
kasome kama mtihani wa semester ni kesho...
Mkumbuke na muumba wako kwa kufungua geti la chuma!