Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,672
- Thread starter
- #41
Kiuchumi kwetu tupo chini kidogoKama upo vizur kiuchum nenda private tu
Kiuchumi kwetu tupo chini kidogoKama upo vizur kiuchum nenda private tu
Nashukur sana mkuukwa ushauri wang rud shule kwan unaweza ukafany vizuri kuliko mwanzo and hata kama ukapata c mbili ukichanganya na hiyo moja kwa comb kubalance unaweza kwenda 5 kwa shule ya private.
Nashukur mkuukeep it up elimu haina mwisho,kuna watu wanataman kurud shule sema hawana wa kuwawezesha kama umepata nafas ya kurud shule rud kasome.
Nashukuru sanatafuta jinsi ya kutafuta pesa achana na shule asilimia kubwa ya wasomi ni watumwa kwa waajiri wao. kusoma ni kujiingiza kwenye utumwa. TAFUTA PESA, ANZA KIDOGO, nunua vitabu vya watu waliofanikiwa soma nyumbani. Asilimia kubwa ya matajiri wakubwa duniani hawana degree wala diploma