Naomba ushauri, nataka kufungua duka la vipodozi

Wakuu, nafikiria kufungua biashara ya vipodozi, maeneo ya Msamvu Morogoro, mtaji wangu ni mil 20, naombeni ushauri, na namna yakupata business plan
 
Back
Top Bottom