Naomba Ushauri: Natafuta Projector Nzuri kama Mbadala Wa Flat Screen TV.

Projector ya kisasa

-Angalau 1080p native resolution. Wengi wanakuambia projector ni ya 1080p ama 4k lakini unakuta native resolution ni 480p ama chini ya hapo ila ina uwezo tu wa ku upscale kwenda 1080p
-iwe na HDR10 na support za kisasa za mabilioni ya rangi pamoja na hii Dolby vision.
-X265 kama kawaida.
-3d
-lumens za kutosha tegemea na mwanga unapoangalizia

Mfano hii
http://amznly.com/4li

Kuhusu pa kuipata agizishia tu online. Bongo vitu kama hivi utapigwa projector za kishamba
Mkuu kwa projector ya native resolution ya 1080p lazima upasuke hela sana yaani kma hauna usd 700 na kuendelea, kwa specifications wise zaidi
 
Mkuu PC kama ilikuwa inatumia internal HDD ya IDE je nikiweka SATA inafanya kazi je na kipi na kipi kinatakiwa?.Ahsanteh
 
Mimi sina tatzo kuhusu budget anything betwen 500K to 1,500K is cool.
Ila still unaweza kuta kitu cha 700K ila kina function kama kitu cha 2M ndio sababu ya kuja hapa Jamvini. Na humu from experiences za watu lazima mtu utalamba Joker tu (Hutopotea).

Many Thanks Mkuu.
Binafsi natumia hyo inafanya poa sana knye giza
Screenshot_2018-11-18-20-25-31.jpeg
 
Mkuu kwa projector ya native resolution ya 1080p lazima upasuke hela sana yaani kma hauna usd 700 na kuendelea, kwa specifications wise zaidi
Amesema budget yake hadi 1.5m.

Na kununua projector ya 480p kama mbadala wa flat ni kama kutoa flat na kueka tv ya chogo. Angalau umekosa kabisa native iwe hata 720p.
 
Mkuu PC kama ilikuwa inatumia internal HDD ya IDE je nikiweka SATA inafanya kazi je na kipi na kipi kinatakiwa?.Ahsanteh
Ni desktop ama laptop?cheki machinga complex ama kkoo mitaa ya Kanisa la KKKT karibu na aggrey ama uhuru na msimbazi kama unaenda uhuru na congo, kuna converter wanauza za ide to sata ama sata to ide.
 
Laptop mkuu,inaweza fika kiasi gani mkuu?
 
Back
Top Bottom