lindunduru
JF-Expert Member
- Aug 2, 2015
- 392
- 551
Avune alichopanda, lakini wakati mwingine maamuzi ya kimapenzi hua hayashirikishi akili bali ni moyo tu! Kwa akili ya kawaida tu(common sense) maamuzi ya hilo jambo wala hakupaswa kujiuliza na kutaka ushauri kwa watu wengine eti mtu aliyekusaliti kiasi hicho arudi a asirudi! Usishangae akapewa ushauri huyo mke asirudi lakini mume kimyakimya akamrudia!Ndio shida hiyo ya kufanya maamuzi pasi kuangalia pande zote za shilingi.
Amuache tu azidi kuona utamu wa kuwa na mke mwenza. Sababu ndio alichokuwa anakitaka hicho.
Kweli kabisa mapenzi kitu kingine bana.Avune alichopanda, lakini wakati mwingine maamuzi ya kimapenzi hua hayashirikishi akili bali ni moyo tu! Kwa akili ya kawaida tu(common sense) maamuzi ya hilo jambo wala hakupaswa kujiuliza na kutaka ushauri kwa watu wengine eti mtu aliyekusaliti kiasi hicho arudi a asirudi! Usishangae akapewa ushauri huyo mke asirudi lakini mume kimyakimya akamrudia!