Naomba ushauri: Mpenzi wangu haniamini

Naomba ushauri: Mpenzi wangu haniamini

Embu cheat kweli nawewe..alafu mwambie na ushahidi juu
 
Embu cheat kweli nawewe..alafu mwambie na ushahidi juu
Dah aisee dada yangu umenipa mwanga flan

Shukran sana japo ctafanya ulichoniamby kama ulimaanisha[emoji120]
 
Are you for real, like serious? Niko na huyo mpenzi wako mwaka wa tatu sasa, ana kuchora tu.
 
Hebu nenda hapo Moro fanya ziara ya kushtukiza utapata majibu kwa nini anapretend kutokukuamini
 
Hautakiwi umtoe hyo hofu kbsa , mwanamke akikuamin tafsir yake kakuona bwege , tena mpige matukio na wadada wazuri kuliko yeye mkuu kama unampenda kwel na unataka adumu kwako, hawa viumbe wanapenda hekaheka
 
Ni kweli mkuu[emoji120]
 
Mwanamke wa kumuanini ni mama yako tu Mzee baba hawa wengine wote ni ukibaka tu ,we chakata mbususu acha kukawazia ka demu kaliko morogoro ambako hujui kanaishije kisa tu kamejifanya kameota umekasaliti
 
Back
Top Bottom